Baada ya Kutoka Ufaransa na Italy, JK kuelekea China Jumatatu

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
159
habari wana Bodi,
Habari zilizonifikia Punde asubuhi ya Leo,Jk ataendelea na safari zake za nje tana wiki ijayo na safari hii atakuwa akielekea China kuhudhulia Mkutano wa kibiashara,nitawapa habari zaidi baadaye,
ila wapambe wake wanajiandaa na safari hiyo na wataondoka Jumapili,

Je hizi safari zinasaidia kukuza uchumi wetu,na ningependa kujua mpaka sasa hiyo misaada aliyopewa imetusaidia kiasi gani?tulinganishe na gharama za safari zenyewe.

Je Muungwana ansafiri kwa kutumia mfuko upi?na kwanini asimwachie ziara zingine Ustaadh Shein ?yeye akamsaidia Lowasss kuelezea tuhuma za ufisadi na kutupa matumaini mapya wana wa watanzania.

Je ni lini ataacha kutumia pesa zatu kwa safari za kila siku,Mbona hakutuambia kama anapenda Kusafiri wakati tunamchagua..

hata kama safari zina umuhimu,hapana huyu baba gani wa familia ya wamasikini makini?
 
nimeanza kupata wasiwasi na JK...cant believe sasa kinachoendelea.
 
nimeanza kupata wasiwasi na JK...cant believe sasa kinachoendelea.

So, mikutano inayomuhitaji head of state ahudhurie mwataka aende nani? mimi naona tu tuna matatizo mengi sana na ya muda mrefu na ya mfumo ambayo inaonyesha wengi wetu hatujajua matatizo hayo ni yepi na majawabu ya matatizo hayo ni nini?

Wengine munadhani ni kwa head of state kukaa pale magogoni/ocean road, wengine munadhani ni kwa kupata rais malaika... provided tu hamjaingia deep kuweza kujua tatizo halisi....
 
Nafikiri hata hiyo misaada anayopata inaishia kwenye safari na kupandisha deni la Tanzania. Kwanza ujumbe wa serikali, wabunge, wake, ma-hawala, yes-mzee, ni budget tosha ya kuwanunulia vijana wa sekondari wanaolalamikia misosi huko mashuleni.
 
Mbona hakutuambia kama anapenda Kusafiri wakati tunamchagua.hata kama safari zina umuhimu,hapana huyu baba gani wa familia ya wamasikini makini?

Mmmh kunamemba alipendekeza jamaa angejipa nafasi ya kuwa waziri wa mambo ya nnje na uraisi kwa pamoja.
 
So, mikutano inayomuhitaji head of state ahudhurie mwataka aende nani?

hatukatai ila Mbona ule mkutano wa Paris pale February aliwakilishwa na Lowassa?
ninachotaka kujua je tunafaidika na nini kama Rais wetu akihudhuria mikutano hiyo?au ndio haya mambo ya safari ya siku nane million 500?

watueleze Je nani huwa angharimikia safari hizo,kama hao FAO walikmualika watuambie kama wanalipa ghrama zote coz nchi yetu ni maskini.na kuna watu wengi hawapati chakula bora.

hapana kilitime,anatutia umaskini tu.Safari zimezidi na nchi imekosa mwelekeo,Huko Hazina hakuna hata Pesa..
 
Hapana, naomba nisiamini kwamba mkuu wa kaya anaenda kumuona Mrithi wa Chairman Mao! What? No way JK cant travel again this point in time! It will be beyond human comprehension!

Otherwise as country we are in deep shit!
 
Mwacheni Rais wetu aende kuitangaza nchi, haendi kukaa muda mrefu jamani,au mmesahau alichaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza kwenye mkutano wa mazingira? sasa angefanya kwa osmosis?

Asante.
 
PRESIDENT OF TANZANIA H.E. JAKAYA MRISHO KIKWETE NAMED HONORARY GLOBAL CHAIR OF 2ND WORLD TOURISM MARKETING SUMMIT Beijing, China, October 28-30, 2007
The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, was named Honorary Global Chair of the 2nd World Tourism Marketing Summit(WTMS), which will take place in Beijing, China, October 28-30, 2007. The announcement was made by Sujit Chowdhury, Secretary General, of the Canada-based World Trade University(WTU), organizer of the Summit. The Summit, hosted by the Beijing Tourism Administration of the People’s Republic of China, will bring together more than 400 travel and tourism industry leaders from around the globe.

“My selection as Honorary Global Chair, as an African leader, reflects the strong and growing trade and economic ties between Africa and China, and the vast untapped potential that China represents. Travel and Tourism is the World’s largest Industry and is critical to sustainable economic development and the generation of productive employment. For this reason, the Summit is very timely,” stated H.E. President Kikwete.

Mr. Chowdhury, in making the announcement, said “H.E. Kikwete will bring to the Summit the dynamic and outstanding leadership that he has already demonstrated in Tanzania with his ability to attract major international investment. This is reflected in that Country’s dramatic growth and development path, especially in the booming tourism sector. We are looking forward to President Kikwete inspiring delegates to use this converging platform to create new joint venture opportunities.”

Following the huge success of the historic First World Tourism Marketing Summit held in November, 2004, in Nanjing, China, the 2nd WTMS will bring together approximately 400 leading tourism executives, marketing experts and top operational managers from over 50 countries, as well as from over 150 major cities of 30 provinces in China. The Summit will provide an opportunity to network, explore joint ventures and learn from the brightest how to develop strategies to enhance cooperation between the international business community and one of the world’s largest tourist markets.


SOURCE:http://www.forimmediaterelease.net/pm/452.html
 
Kingwendu ndiye kaja kuharibu nchi kabisa,kheri bepari Mkapa,japo aliiba sana lakini kuna machache katuachia.Nina
wasiwasi Kingwendu atalitumbukiza hili taifa pabaya,tumpeni muda.
 
And then he is off to Rwanda. I really don't have a problem with these trips.

10 African leaders to attend Kigali ICT summit
• Tuesday, Oct 23, 2007

Ten African leaders are to attend the International Summit on the Information and Communication Technology(ICT) in Kigali, Rwanda scheduled for October 29, dubbed “Connect Africa”.

“Ten African Heads of State have already confirmed their participation,” Albert Butare, Rwandan Secretary of State for Energy and ICT, said.

He said those who confirmed their participation were Senegalese Abdoulaye Wade, Ghanaian John Kuffour, Malian Amadou Touré, Malawian Bingu Mutharika, Ugandan Yoweri Museveni, and Tanzanian Jakaya.

Others, he said included Djiboutian Ismail Omar, Burkinabe Blaise Compaoré, Burundian Pierre Nkurunziza, and Gambian Yahya Jammeh.

“Also coming to the summit are the Comoro Island’s Vice-President, Idi Nidhom and representatives of major international telecommunication firms”, Butare said.

The summit was jointly organised by the World Alliance for ICT at the Service of Development (UNGAID), the International Telecommunications Union (UIT), based in Geneva, Switzerland, the African Union and the World Bank Group.

Butare said the summit would seek ways to mobilise more human, financial and technical resources to sustain economic growth, employment and development in Africa.

http://www.thetidenews.com/article.... to attend Kigali ICT summit&qrColumn=FOREIGN
 
So, mikutano inayomuhitaji head of state ahudhurie mwataka aende nani? mimi naona tu tuna matatizo mengi sana na ya muda mrefu na ya mfumo ambayo inaonyesha wengi wetu hatujajua matatizo hayo ni yepi na majawabu ya matatizo hayo ni nini?

Wengine munadhani ni kwa head of state kukaa pale magogoni/ocean road, wengine munadhani ni kwa kupata rais malaika... provided tu hamjaingia deep kuweza kujua tatizo halisi....

The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, was named Honorary Global Chair of the 2nd World Tourism Marketing Summit(WTMS), which will take place in Beijing, China, October 28-30, 2007. The announcement was made by Sujit Chowdhury, Secretary General, of the Canada-based World Trade University(WTU), organizer of the Summit. The Summit, hosted by the Beijing Tourism Administration of the People’s Republic of China, will bring together more than 400 travel and tourism industry leaders from around the globe.

Mimi ninavyoelewa Rais ni head of state sawa. Ni heshima kuchaguliwa kuwa Honorary Global Chair, lakini hebu tuangalie safari zake za Ufaransa, Italia na sasa China. Je safari zote hizi alitakiwa kwenda rais? Italia alialikwa na waziri mkuu na kasema ataleta wafanyabiashara 100 kuwekeza. Alienda kumtembelea Papa according to the spin amemwalika but the reality ni kwamba Papa amepanga muda mrefu sasa kuja Afrika mwezi Desemba so .... whatever! Hapo labda naweza nikasema ilikuwa vyema head of state kwenda (but not compulsory)
OK tuje Ufaransa - mkutano wa FAO. Hivi naomba kuuliza ni marais wangapi wa Afrika na Asia walihudhuria? Hii sijakubali! After that... sijui labda mnisaidie kukumbuka but hata spin masters wake wamebaki kuzungmzia kwamba eti watu walifurika kupiga picha naye (as if it is a beauty pageant)Sidhani kama ilikuwa muhimu kwake kwenda.
Hii ya Beijing, China: aliteuliwa binfasi kwa hiyo it's well and good aende but again what will this help the country? Juzi alikuwa MArekani tukasikia kwamba hata matangazo katika CNN yamezinduliwa ku-attract more American tourist maana hawa ndio tunaowataka. Sasa tunataka kupata Chinese tourists?!:confused:
The 2nd World Tourism Marketing Summit—Beijing 2007 is an opportunity to network and learn from brightest how to develop strategies to enhance cooperation between the international business community and one of the world’s largest tourist markets. China’s emergence as a global tourism partner is growing at an explosive rate for both inbound and outbound traffic. The country hosted a record 124 million travelers in 2006 and the number of Chinese tourists traveling to foreign shores will swell to more than 100 million by 2020.

Does your agency (or Country/State/Province, City, Company or organization) have a plan or vision to capture a portion of this lucrative market? China is still relatively new terrain for most players, and a healthy dose of local expertise can be the difference between success and failure. On the flip side, accommodating large numbers of Chinese tourists is a new experience for most destinations. Discover how to maximize your marketing efforts in view of their various demographics, as well as how to familiarize and prepare your staff to be aware of the needs and the cultural differences of the Chinese tourists in diverse international settings.

The appearance of China as a leading tourism market only serves as a reminder of the importance of effective marketing at the global level. In light of this necessity, the World Trade University (WTU) Global Secretariat and its Global Partners present the 2nd World Tourism Marketing Summit (WTMS), hosted by Beijing Tourism Administration of the People’s Republic of China, from October 28-30, 2007, in Beijing.
FYI it is also true that Chinese tourists ni wabahali na spending power yao ni ndogo. Also wengi wao hawana interest na Africa bali they want to go to places where they can shop til they drop.
This orgranization ya World Tourism Marketing Summit siyo part of World Tourism Organization Na ukiangalia global dignitaries, huoni another president or anyone except Mwungwana! Why? Because other presidents hawawezi kujishughulisha na summit kama hiyo wanawaachia waziri wao (Bermuda). We mpaka mtangazaji wa BBC world naye ni dignitary!
visit http://www.worldtourismsummit.com/
Nataka niangalie how much coverage tutapata in CNN BBC CCTV yenyewe etc. I doubt it! But jamani mwacheni! Si ndio wenye nchi kama tunavyosema huku Bongo!;) Sisi yetu macho na tunasubiri kuvuna faida za misafara!
 
Naomba niongeze ya kuwa huko Beijing, media partner is BBC so maybe we will get coverage of Mwungwana kama chair Yipee.:rolleyes: And also we have other dignitaries on the panel like Mr. Dai Guofu, CEO, Hainan Lingshui Monkey Island Tourism Development Ltd,. Co, China sitting with the Prez! Great!:rolleyes:
 
And then he is off to Rwanda. I really don't have a problem with these trips.
10 African leaders to attend Kigali ICT summit
• Tuesday, Oct 23, 2007

Ten African leaders are to attend the International Summit on the Information and Communication Technology(ICT) in Kigali, Rwanda scheduled for October 29, dubbed “Connect Africa”.

“Ten African Heads of State have already confirmed their participation,” Albert Butare, Rwandan Secretary of State for Energy and ICT, said.

He said those who confirmed their participation were Senegalese Abdoulaye Wade, Ghanaian John Kuffour, Malian Amadou Touré, Malawian Bingu Mutharika, Ugandan Yoweri Museveni, and Tanzanian Jakaya.

Others, he said included Djiboutian Ismail Omar, Burkinabe Blaise Compaoré, Burundian Pierre Nkurunziza, and Gambian Yahya Jammeh.

“Also coming to the summit are the Comoro Island’s Vice-President, Idi Nidhom and representatives of major international telecommunication firms”, Butare said.

The summit was jointly organised by the World Alliance for ICT at the Service of Development (UNGAID), the International Telecommunications Union (UIT), based in Geneva, Switzerland, the African Union and the World Bank Group.

Butare said the summit would seek ways to mobilise more human, financial and technical resources to sustain economic growth, employment and development in Africa.

http://www.thetidenews.com/article.... to attend Kigali ICT summit&qrColumn=FOREIGN

I do have my reservations!
Naomba tu niwaeleza wale ambao hawafuatilii habari za nchi jirani, Kagame wants to make Rwanda an ICT hub, he is making the country wireless in 5 years time! Hawa marais wanaenda pale ili yeye Kagame aweze kuonyesha uwezo wake wa kuwavuta marais wenzake and he is the initiator, wengine ni decoration tu. And BTW Kagame remains in his own country finding ways of solving problems. He is in discussion with Microsoft waweke kiwanda pale! Sisi ngoja tuendelee kulala, tuwe wasinidikazaji!
 
My Country is indeed in a very deep shit . Don't know how we will get out .
 
My Country is indeed in a very deep shit . Don't know how we will get out .

In very Trouble,
Bahati mbaya sana hajui kwa nini sisi ni maskini.
Anapigana na adui ambaye hamjui, unategemea ushindi kweli?
 
...acheni kina kilitime wamtetee na point yao anaitangaza Tanzania,sijawahi kuona lame excuse kama hii wazee na sijui anatutangaza vipi...jamani mwee huyu JK ni matatizo tuu na sijui anafikiria saa ngapi matatizo mazito kama rushwa na umaskini kama anasafiri kiasi hicho
 
wananachi hatukatai kama rais anatakiwa kusafiri nje ya nchi, lakini awe na priorities, sio kila safari anakwenda yeye, kuna nyengine hazi umuhimu sana wa kuwa aende rais mwenyewe.

yeye kama head of state akumbuke kwamba anahitajika nyumbani pia, kutoa muongozo, kama anamuona EL anafaa kwa mambo ya ndani, na afae kwa mambo ya nje pia....na waziri wa mambo ya nje anafanya kazi gani??

kwa utaratibu huu......Aibu tupu
 
I do have my reservations!
Naomba tu niwaeleza wale ambao hawafuatilii habari za nchi jirani, Kagame wants to make Rwanda an ICT hub, he is making the country wireless in 5 years time! Hawa marais wanaenda pale ili yeye Kagame aweze kuonyesha uwezo wake wa kuwavuta marais wenzake and he is the initiator, wengine ni decoration tu. And BTW Kagame remains in his own country finding ways of solving problems. He is in discussion with Microsoft waweke kiwanda pale! Sisi ngoja tuendelee kulala, tuwe wasinidikazaji!

TRADE: Rwanda Leading Africa in ICT Revolution
By Erin Cunningham

PARIS,(IPS) - Less than fifteen years after the genocide that destroyed much of Rwanda's human capital, infrastructure, and socio-economic fabric, the country is set to become sub-Saharan Africa's hub for information and communications technology (ICT).

Thanks to ambitious government initiatives in developing Rwanda's telecommunications infrastructure, the country's ICT sector -- including mobile phone and fibre optic networks as well as PC and Internet access -- has become a primary target of both international public and private investment in recent years.

Named East Africa's number one ICT nation by the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD), Rwanda has benefited from ICT-based investments by lucrative international players such as Microsoft, Nokia, and Terracom.

The country's current ICT sector budget is on par with nations of the Organisation of Economic Cooperation and Development (OECD), a grouping of 30 rich nations, at 1.6 percent, far above the African average.

Faced with a shattered economy in 1994, Rwanda launched its "Vision 2020" strategy in 2000 in order to vigorously rebuild and reinvent the Rwandan economy, aiming to achieve middle-income economic status by the year 2020.

"One of the hard pieces of work lies in maintaining both the investment and especially the policy focus to get maximum benefit. President Paul Kagame's government has done that very well, encouraging both smart ICT policies and in general supporting a more business-friendly environment," Andrew Mack, former World Bank employee and regular contributor to East Africa Business Week, told IPS.

While the Vision 2020 framework addressed agricultural, industrial, and social elements as well, Rwanda's lack of port access, inflated airfreight rates, and surrounding instability provoked the Rwandan government to invest in a knowledge-based economy with ICT as its cornerstone.

Launching programmes in scientific research and education, technological innovation, and telecommunications distribution, Vision 2020 aimed to produce "highly-skilled scientists and technicians to satisfy the needs of the national economy" that would be integrated into the larger framework of economic and social development for the greater Rwandan population.

Donor governments are getting on the ICT bandwagon as well. Just last month, the British Department for International Development (DFID) announced it would launch a 700,000 pound sterling (1.4 million dollar) project in conjunction with the Rwandan government and World Bank to "explore innovation in science and technology and economic growth" in the country.

The Rwanda Development Gateway, a government-run portal for Rwanda's development sector, sees ICT as "a window of opportunity to leap-frog the industrialisation stage and transform the economy into information and knowledge-based economies" in order to effectively combat development challenges in the country while ushering in new economic and social opportunities.

Twenty-five recently demobilised soldiers, for example, were awarded one-year hardware maintenance and software development certificates in 2006 by the Washington DC-based Development Gateway Foundation.

"The aim of the training was to help demobilised soldiers get jobs as technical consultants in ICT. Some have started partnering with computer hardware and maintenance companies," Jerome Gasana, project manager of the Regional ICT Training Centre (RITC) in Kigali told IPS.

The approach has apparently worked. The Economist magazine recently reported that Rwanda is well on its way to achieving its Millennium Development Goals (MDGs) as a result of its ICT-based poverty reduction strategies.

Ensuring access by all citizens has been a mainstay of Rwanda's ICT policy, although there is still a substantial rural-urban gap, with the majority of mobile phone, landline and internet access concentrated in Rwanda's capital Kigali and surrounding areas.

One billion dollars was committed in 2006, however, to building nationwide tele-centres with Internet and telephone access points, allowing for increased connectivity and mobility in rural areas.

A related "village phone" endeavour undertaken by Nokia and the Grameen Foundation USA in 2006 sought to bring affordable mobile communications access to rural villages in Rwanda, as well as the creation of over 3,000 related small businesses throughout the country in the next three years.

"The number of village phones (as of July) deployed amount to 167. The target is to reach 1,000 by the end of 2007," Nokia's Middle East and Africa Director of Communications, Yolanda Pineda, told IPS.

Rwanda also boasts an Internet Exchange Point, ICT Park, National Computing Centre, and Telemedecine Network, which connects Rwandan hospitals and universities in an attempt to transform and expand health services to underserved areas.

The government continues to supply and invest in technology at both the primary and university school levels, as over 1,200 primary schools are equipped with computers and at least 10 percent of Rwanda's secondary schools have wireless Internet.

"The RITC organised secondary school teachers for training in ICT from all provinces of Rwanda. The course was designed to help them disseminate ICT skills to the younger generation," Gasana said.

Rwanda formally joined the East African Community (EAC) economic bloc on Jun. 17 and is expected to play a major role in the development of the ICT sectors of its neighbours and fellow EAC members.

The country has already begun offering scholarships to ICT students from East and Central Africa to increase the number of scientists and raise the level of technological knowledge in the region.

"If they keep on the track they're on and even accelerate, I see no reason why they won't be able to reach a lot of Rwandans and even make money helping people around the region who want to develop an ICT industry," said Mack.

A recent partnership with Microsoft and the Institute of Advanced Technology of Kenya saw the RITC train 25 trainers as user support professionals in light of Rwanda's potential role as regional ICT facilitator.

"The training was designed to foster our staff, as we are targeting the market for the East Africa community," Gasana said.

Rwanda was also chosen as the geographical headquarters of the new East African Submarine Cable project, a mammoth fibre optic venture designed to bring telecommunications to rural villages from Sudan to South Africa along East Africa's coast.

"I hope they will lead by example, but I can also see Kigali developing into a real regional hub-the Singapore of East Africa," Mack says. (END/2007)


....muungwana ana plan gani na yeye nasikia Rwanda hawana mgawo wa umeme na wanaexport umeme sasa ...kazi tunayo!
 
Back
Top Bottom