Baada ya kutoa BBM bure ndani ya Android RIM BLACKBERRY KUFILISIKA..

Baada ya kutoa BBM bure ndani ya Android RIM BLACKBERRY KUFILISIKA..

mimi ninatumia motorola tablet mz 601 xoom 32gb cena.. SASA NATAKA KUFAIDI HUDUMA YA BBM, nimedownload na nimepata software yao, lakini sijui nini nifanye , maana ukiifungua inasema welcome to BBM, SIGN IN WITH YOUR Blacbery id.

lakini hakuna sehemu unayoweza kusign in, pia nitapataje Pin code ya BBM iliniweze kuinjoi huduma hiyo

kaka kuna foleni ya kupewa id just eka email yako then skilizia watakwambia kwa email zamu yako ya kupewa pin ikifika
 
Back
Top Bottom