Baada ya kutangazwa kifo cha J.K. Nyerere mwaka 1999, ulifanya nini (first reaction)?


The Boss nakumbuka kuna watu walikuwa wanasema nchi ndio itavamiwa baada ya mzee kufa, basi watoto wengi walikuwa wanaogopa muda wote wapo na mama zao....
 


Ni kweli Samia ametaka ku quit?
 
Mimi wakati huo nilikuwa darasa la sita, tunaishi Musoma na Mzee alikuwa mjeshi hapo Butiama kipindi hicho, tulifurah sana kufunga shule nilikaa msibani mpak watu wote wakatawanyika ni kula na kucheza. Umenikumbusha mbali sana mkuu.
teh teh teh
 
nilisikia tu kwa watu ila sikutaka kujua kinachoendelea hata tv nilikuwa naangalia mda kwa kipindi cha cartoon kikianza.... nilimuwa bado mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…