ni vizuri ungefikiria kabla ya kutoa kauli hii!!Tanzania tusipokuwa makini tutaanza kutawaliwa na waafrika wenzetu, rasilimali zetu tukizigawa hovyo maumivu yake yatakuwa ni ya milele.Wakenya, Waganda nk wakipewa fursa ya kuvua bila mipaka watz hamtapata nafasi hata ya kurusha nyavu,na mishangae kuja kusikia kila siku wavuvi wa TZ wameuawa ziwani.TANZANIA TAKE CARE!!!!!!!!!!
Ndugu,So you can imagine how important we are to kenyans, we are a gold, diamond and life to them. mate yanawadondoka na hasa wanapoona sisi nasi tumeanza kunawiri, democrasia imeanza kuwa juu, wananchi wamechangamka kukamata mafisadi kitu kitakachoinua accountability kwenye uongozi then maendeleo kuwa juu haraka. wanaogopa watakuwa koloni letu si muda. mali hawana, ardhi kidogo. wanamendea eac wamiliki mali zetu, hasa ardhi, ziwa victoria, kila kitu.
we need to merge with these people, lakini sio iwe federation, tuwe na mipaka sana na tushirikiane kibiashara tu, na sio kufuta mipaka ya nchi na ziwa letu. tunaweza kufuta baadhi ya tarrifs na vitu vya kodi kama hivyo, na hata hivyo, tuwe ne rules za kutosha za immigration ili nchi hii isiuzwe tukajikuta tunapoteza chetu kama walivyotupora kinguvu hisa za East africa airways ambayo imeiwezesha kenya airways kuwa juu hadi leo. sisi tumelala fofofooooo na air tz.walituwahi, sasa hivi tunavyoingia tuingie kwa akili, sisi sio mabwege tena. tutaingia kwa akili, tutashirikiana nao kwa akili na ikiwezekana tutaachana nao kwa akili.
mimi kama nyumbani kwako unayo magari matatu na huendeshi yote, naomba moja niwe naenda nalo kazini mzee.
So you can imagine how important we are to kenyans, we are a gold, diamond and life to them. mate yanawadondoka na hasa wanapoona sisi nasi tumeanza kunawiri, democrasia imeanza kuwa juu, wananchi wamechangamka kukamata mafisadi kitu kitakachoinua accountability kwenye uongozi then maendeleo kuwa juu haraka. wanaogopa watakuwa koloni letu si muda. mali hawana, ardhi kidogo. wanamendea eac wamiliki mali zetu, hasa ardhi, ziwa victoria, kila kitu.
we need to merge with these people, lakini sio iwe federation, tuwe na mipaka sana na tushirikiane kibiashara tu, na sio kufuta mipaka ya nchi na ziwa letu. tunaweza kufuta baadhi ya tarrifs na vitu vya kodi kama hivyo, na hata hivyo, tuwe ne rules za kutosha za immigration ili nchi hii isiuzwe tukajikuta tunapoteza chetu kama walivyotupora kinguvu hisa za East africa airways ambayo imeiwezesha kenya airways kuwa juu hadi leo. sisi tumelala fofofooooo na air tz.walituwahi, sasa hivi tunavyoingia tuingie kwa akili, sisi sio mabwege tena. tutaingia kwa akili, tutashirikiana nao kwa akili na ikiwezekana tutaachana nao kwa akili.
Hiyo proposal ya kuondoa mipaka ni rubbish. Mipaka isiondolewe. Chakufanya sisi Tanzania tuendelee kuvua samaki na kama kuna ziada tuwauzie Wakenya.
Lazima tulinde maslahi ya nchi yetu at all costs, EAC notwithstanding.
naomba hili tulichimbe, hatuwezi kuwa mgongo wa wakenya kusonga mbele wakati sisi tunalala tu. kama tusingelinda resources zetu tangu awali, leo hii tusingekuwa na madini nk.
Hivi, naomba tujiulize, kuna faida gani kuungana na hawa jamaa? najua faida ipo kama tutakuwa tunakubaliana kulingana na maslahi ya kila nchi. lakini, kwa proposals za wakenya kama hizi, kuna faida gani? kuna nini kinajificha ambacho wanataka ku take advantage of our country? kuna nini wanalilia hapa, kama resources tunazo, hata tukikalia ni zetu, tutakuja kuchuma baadaye.
Kilimanjaro wameiba hadi wamechoka, sasahivi wanaona aibu kwasababu dunia imejua kuwa iko tz. serengeti wameshindwa na kulegea vilevile. baadaye watakuja kusema hata ngorongoro na Bagamoyo iko kwao, hata zanzibar watasema iko kwao.
unayetoa mfano wa Congo, resources za congo zinaleta migogoro kwao, lakini that is not the case here in tz. hapa tz resources hazileti migogoro hata siku moja. may be if you people come with the proposal to buy some land from Tz or some part of victoria from tz, and we may sell you at more than five trillion dollars if you can ever have that money.
watz tujifunze kwa waganda, waliachia kisiwa cha migingo, sasahivi wakenya wamesema chao, hadi wanataka kupigana. sasa,kama kakisiwa kale tu wanataka kupigana vile, je, ziwa? ikiwezekana tuachane nao kabisa. siku zote ogopa mtu anayetaka kutake advantage of your being.
Sifikiri kuwa litakuwa jambo la ujinga kwa vile tunachotowa umuhimu hapa ni Muungano na Muumgano maana yake aliekuwa hana kitu akipate kwa mwenzake.
mimi nakubaliana kabisa na hofu ya ubungoubungo...lakini na sisi watanzania tumezidi kuwa walalamikaji badala ya kufanya kazi , ndio maana kila siku wenzetu wanatupiga bao tukiwa macho....tuanze na mlima kilimanjaro,si uko Tanzania? lakini kila siku jamaa wetu wakenya wanapromote sector yao ya utalii kwa kujinadi kwamba mlima uko kwao..mapato yao yanaongezeka sisi tunashangaa shangaaa, tukija madini ya tanzanite,tanzania ndio nchi pekee inayochimba madini husika,lakini kwenye masoko ya dunia Kenya ndio major exporter wa tanzanite, tukija kwenye magogo ni hivyo hivyo. Na kibaya zaidi ni sisi sisi wenyewe ambao tunashirikiana nao kupitisha njia za panya... Na sasa mbali na kutaka tugawane hako kaziwa, wanataka kuja kamili kutwaa ardhi yetu..hakiyanani nawaambieni pamoja na mikwala ya viongozi wetu ,jamaa watakuja ardhi watachukua,watalima watapitishia njia za panya kupeleka kwao na Kenya itapaaa kama ndege ya Lowassa. Sisi tutabaki kulalamika tu! Tuamke sasa!
Brother/sisiter, wale watz wa aina hiyo wameshazeeka, SIKU HIZI WATZ SIO WAVIVU, WANACHAPA KAZI SANA, hiyo imebaki historia tu. siku hizi wabongo wanachapa kazi, wanasoma, na wanafanya biashara vizuri sana. ni kundi dogo tu la watu ni wavivu sawa tu na kwamba katika kila nchi kuna wachapakazi na wavivu. hicho kisiwe kisingizio cha kugawa ardhi na ziwa au maliasili yetu yoyote ile. the issue is that, tunazo maliasili nyingi mno, na hatuwezi kuzimaliza haraka, ndio maana wenzetu wanaona kama sisi tunazikalia tu. hawajui kuwa kila kukicha tunazichuma lakini haziiishi kwasababu ni nyingi mno. tutazitunza tujichumia polepole, kama ni samaki, kama ni madini, kama ni ardhi etc, tutajilia polepole kama unalamba icecream vile.
if they have not helped us already, they will help us tomorrow, that should not be taken as a ticket to grab our resources just because you think we do not use them or they don't help us. to tell you, they help us a lot, and you will see soon how this means.
You have coffee, what kind of coffee? can you compete it with the Ethiopian one, Burundi, Rwanda and Tanzania(here we have kilimanjaro coffee, mbozi, the famous Bukoba na Mbinga districts), we don't talk any thing. ukienda popote ukawaambia watu kuwa coffee ya kenya is the best, watakucheka sana. the problem is that, you don't know who you are, you keep on being proud of nothing. ni sawa na wale wanaosema Nairobi is the Dubai of East Africa....those years have already passed. stay tuned and be ready for competition brother. soon you will be our colony.

The height of illiteracy, if you dont know that Kenyan coffee is the best in the world, compared only to i think Brazil, then unalala darasani. Our coffee is used to blend the rest of the worlds coffee..(The coffee that you drink-if you drink any, was blended using our coffee) We are a product of our own, unmatched by any other Ea country-though we have less land and 'no' minerals.
Uswahili hautawapeleka kokote, work hard mates. maybe the minerals are not in anyway helping you as a country, you just sell the stones to brokers who make a kill else where. Thats the power of capitalism.