Acheni longolongo huyu mama hawezi kufikiwa na waziri yeyote mwanamke aliyeko kwenye serikali ya sasa! Ni kichwa hasa! Nina wasiwasi na hii serikali ya kifisadi! Hizi ni mbinu za kumuondoa na kushiriki katika uchaguzi mwaka kesho! kama sikosei anatoka jimbo la Membe na ameshashtukia nguvu za huyu mama! Bumburuka mama baki hapa unapaswa kuwa waziri wewe ni kama Mh Magufuri! Tunakuhitaji
NO,
Anatokea mkoa wa Ruvuma, kama kugombea basi labda ana mpango wa kugombea huko kwao Nyasa (jimbo la Mbiga Mbiga Magharibi, sijui ni nani Mbunge wake wa sasa may be Komba).