Baada ya kushindwa kununua MAC sasa nataka kununua PC so naomba mawaz yenu juu ya brand ipi nzur kati ya hizi mbil. ni kwa ajili ya graphics & video editing
Baada ya kushindwa kununua MAC sasa nataka kununua PC so naomba mawaz yenu juu ya brand ipi nzur kati ya hizi mbil. ni kwa ajili ya graphics & video editing
Mkuu hapa kuna personal preference graphics and Video editing zinahitaji Graphics card yenye nguvu, hapa linakuja suala la Mfuko zaidi maana unaweza shuliwa ununue PC yenye GTX Taitan au GTX780 ikwa ni tatizo, labda useme budget yako ni kiasi gani hiyo itasaidia kupata Ushauri unao faa
japo hujataja bajeti yako....ila dell kama dell vostro au hata inspiron itakufaa.....angalia sana RAM na processor iwe dual core au yenye uwezo juu zaidi!
Dishunga hizo Mac achana nazo wanazipromoti sana na bei juu lakini hazina lolote la kuzidi PC. Sanasana zitakusumbua sana kwenye support maana hazina mtandao mkubwa wa support. Kama ulikuwa una hela ya kununua Mac basi ina maana una hela ya kupata PC nzuri kwa kazi yako. Mi hapa nina Dell Inspiron yenya RAM 6GB huwaga graphics naprocess bila mawaa. Program kama Adobe CS5.5, Sony Vegas Pro 11 nazitumia kwa spidi nzuri tu. Tena zina-run huku mambo mengine yanaendelea. Niliinunua kwa Tshs. 1,500,000/-
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.