Elections 2010 Baada ya kushindwa atolee uso wake wapi?

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,416
2,264
Alishabikia CCJ kabla ya kuelekeza nguvu zake Chadema... mbaya zaidi kashindwa kote huko!

mkapa%20%26JK.jpg
 
hao ndio wanamapinduzi wa kweli wenye kujua haki ziko wapi....sio wa CCM kila siku kufikiria wizi
 
Taarifa zisizo rasmi yupo hoi nyumbani kwake majani ya chai anaona haya kutoka nje kwa aibu,pole mkuu hiyo ndio demokrasia.
 
Alishabikia CCJ kabla ya kuelekeza nguvu zake Chadema... mbaya zaidi kashindwa kote huko!

[/CENTER]
Mimi naona kuwa hii ndio Demokrasia...unatafuta mabadiliko mahala, in case hapatoshelezi unasonga mbele unakoona kunaeleweka!
Tatizo liko wapi?...Juu ya kushindwa CHADEMA, kama utaacha mambo mengine yote kuwa constant, kushindwa ni sehemu ya mchezo, maana angeshinda CHADEMA, nyie mngepoteza!
Tuwe wapole tu!
 
Hajavunja Sheria wala hajashindwa kuifuata Katiba, Katiba inampa uhuru wa kutetea na kusimamia kile anchokiamini , Mradi asivunje sheria, Kwa kuwa yeye ni Mwanamapinduzi wa kweli, yuko huru kutoa mawazo yake, kama wewe.
 
Mimi naona kuwa hii ndio Demokrasia...unatafuta mabadiliko mahala, in case hapatoshelezi unasonga mbele unakoona kunaeleweka!
Tatizo liko wapi?...Juu ya kushindwa CHADEMA, kama utaacha mambo mengine yote kuwa constant, kushindwa ni sehemu ya mchezo, maana angeshinda CHADEMA, nyie mngepoteza!
Tuwe wapole tu!
Naona hata yeye amekuwa mpole sana wakati huu, baada ja kujua kuwa awezi kuishi kwa ndoto za mchana, nimependa bandiko lake la kushawishi wenzake wasiwe na maneno makali. Huu ni wakati wake na wengine kama yeye kujua ni nini hasa siasa za Tanzania.
 
Wapuuzi hujadili upuuzi.
endeleeni kusheherekea kuwaibia na kuwaburuza watanzania.
Ninamsuport mwanakijiji ambaye mnamchukia
 
Mkuu Msanii niliona juhudi zako za chuki katika kipindi chote cha kampeni. Ni vema kwa sasa ungejiuliza ni wapi hasa ulikosea kiasi cha kushindwa kuleta mabadiliko uliyokusudia. Aidha siasa sio chuki!
 
Punguani nyie leteni issue za maana za kujadili sio huu upuuzi wenu, then ukishajua wapi anapoishi mzee mwanakijiji what next???!!! wezi wakubwa wa kura nyie!!!
 
Alishabikia CCJ kabla ya kuelekeza nguvu zake Chadema... mbaya zaidi kashindwa kote huko!

mkapa%20%26JK.jpg

Proof ya uyanenayo!!!! Nijuavyo mimi CHADEMA imekuwepo kabla ya CCJ, movement za mabadiliko zimeanza kabla ya CCJ!! Sasa unaongea nini mbona ueleweki? Usijadili mtu, jadili sera. Nadhani mliowapigia kura ili wale umewaona wanavyowaka i wish ningekuona na wewe. mhhh
 
Punguani nyie leteni issue za maana za kujadili sio huu upuuzi wenu, then ukishajua wapi anapoishi mzee mwanakijiji what next???!!! wezi wakubwa wa kura nyie!!!

Proof ya uyanenayo!!!! Nijuavyo mimi CHADEMA imekuwepo kabla ya CCJ, movement za mabadiliko zimeanza kabla ya CCJ!! Sasa unaongea nini mbona ueleweki? Usijadili mtu, jadili sera. Nadhani mliowapigia kura ili wale umewaona wanavyowaka i wish ningekuona na wewe. mhhh

Tufanyagaje sasa?
Leo nina shughuli ya kwenda kushuhudia kuapishwa kwa JK hata hivyo napenda mmsome Mikhail Gorbachev hapa chini...

...If there have been mistakes, if there been miscalculations in tactics and in measures.....but did not notice that it was necessary to move more rapidly along the path of liberating ourselves from those totalitarian structures ...

Today you have a president. Tomorrow you may have another president. In any case we are all one, side by side and we shouldn't spit on each other.

Mikhail alikuwa ni rais wa Russia, na mwaka 1990 alishinda zawadi ya Nobel Peace
 
Wapuuzi hujadili upuuzi.
endeleeni kusheherekea kuwaibia na kuwaburuza watanzania.
Ninamsuport mwanakijiji ambaye mnamchukia

NAKEREKA NA LUGHA ZENU TU, hadi nikaamua kuinga mkono CCM kwa nguvu zote!!!
 
Naona hata yeye amekuwa mpole sana wakati huu, baada ja kujua kuwa awezi kuishi kwa ndoto za mchana, nimependa bandiko lake la kushawishi wenzake wasiwe na maneno makali. Huu ni wakati wake na wengine kama yeye kujua ni nini hasa siasa za Tanzania.

It is just a matter of time ccm itaingia kwenye orodha ya vyama vya upinzani. Mwaka 2015 mtabakiwa na majimbo ya mikoa ya pwani, morogoro, singida na tabora. Kaeni chonjo. wananchi wengi waliohamasika na kampeni za chadema wanajilaumu kwa nini hawakujiandikisha kupiga kura. wanatamani 2015 ifike haraka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom