King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,779
Kibunango,huoni kama kazi ya Mkjj na wanaharakati wengine imeleta matunda makubwa?KWa upande wangu mm chadema/upinzani haijashindwa.Hata JK amekiri baada ya kuapishwa kuwa upinzani umeleta changamoto (ambayo haikuwepo hapo kabla), na amekiri kabisa kuwa itabidi CCM igangamale!Huoni kama mabadiliko yameanza kunukia? Na CCM isipokaza buti, mchanga wa pwani huooooooo