Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

Kabla hujaamua jambo lolote Fanya uchunguzi wa jadi wa mtoto wako kwanza muombe picha ya mtoto na ikiwezekana nitumie na picha ya viganja vya mkono nikuhakikie mtoto mwenye miaka 3- na kuendelea namtambua
 
Wasameheni tu mkuu, wanawake wazuri wanawindwa na kila mtu kuanzia boda mtaani, maboss na wafanyakazi wenzao maofisini, kwenye biashara , huduma za umma mpaka mabilionea wa kuchovya wenye visenti vyao.
Ndo mana mm kama boda mtaani, namuwinda Seran ila akinipa napiga nakimbia naacha ndala 😎
 
Hii huwa inawakuta wadangaji wote duniani, akishapigwa Mimba moja mbili au umri umefika at 30+ akina Uwoya , Wema ndio wanakimbiwa na Mapedejeee wote chaguo Lao linabaki kwa vijana Masimp Hohe hahe kama akina wuzo na ina janja Dogo.

Yaani kuona mtu aliyekuwa anashinda Dubai na Uturki Leo yuko kwa Dogo janja ndio kushuka thamani
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…