Baada ya kupigiwa simu jana, nina maswali 3 kwa wapinzani wa UKAWA ndani ya CHADEMA na CUF

Kwa nini niwe mtumwa wa Dr Slaa na siyo Sumaye na Mary Nagu ambao wanapesa nyingi na vyeo kuliko Slaa?? Kumbuka na wao ni wairaqw kama Dr Slaa. Ni swali tu.

Huna jipya mery nagu hawezi kukuongoza mtu mwenye mtazamo wakulialia tu kilajaambo
 


Aweda you are not in that status ya kuitwa kuongwa au sijui nini, to know your enemy really, ungeenda na ungepata conclusion zaidi. May be jamaa alitaka kukupa news muhimu sana, siri au support ya unachokiamini

umeishajenga negative cloud, na unasomeka hapa na anajua yeye ndiye aliyeongea na simu jana

if yu are a man, please you need to hold things (be patient) until ume confirm beyond reasonable doubt kuwa ana lengo baya

ulichoandika hapa , umekurupuka, hujatulia.....sifa ya mwanaume ni kuweka vitu kifuani

why you guys can not hold things in your heart????

who are you na UKAWA yako ambayo kila mwenye akili wakiwemo akina Mwanakijiji wanajiuliza maswali mengi sana?? nikikuuliza maswali kumi kuhusu ukawa huwezi kujibu, nakuonea huruma kuja na swaga hizi hapa ili UONEKANE NA AINA MBOWE AU SLAA kuwa WW NI MFIA CHAMA!!!!

Hivi hao akina Msigwa, Mr. sugu,.......name them hawapati hizo sekeseke za kutaka kuhongwa au kurubuniwa?? mbona hawasemi, sio kila kitu cha kusemasema tu, ume miss information muhimu na umeishi njiani.....hujafika kileleni!!

Yaani uko mlaini kiasi cha kuwa unaogopa ukienda utanyong'onyeshwa na kulainika?? you are weak, let me be straight now. Na utakumbuka muda mrefu sana nimekuwa nikihoji uongozi wako, IQ yako, uwezo wako wa kufikiri everyday naona pumba tu

You are wrong!!! very wrong binadamu ana mambo mengi sana na huwezi kujua ana kitu gani may be it was beneficial kwako


so angetokea ghafla mmekutana huko mamtoni, au kwenye ndege ungeharisha safari....stand up, be a man, IT WAS VERY VERY VERY NICE OPPORTUNITY FOR YOU TO CONVINCE THEM all BEAUTIES OF UKAWA!!!

you have missed this chance kinachoonekana huwezi ukatetea ukawa na ndio maana UMEKIMBIA.period

unasukumwa na kujipendekeza, be you..kuna ikao chochote cha wanachama wa chadema kilichokaa kupitisha hii la UKAWA?? ney ...no,

au ulifikiri wanataka kukuua??? kwa lipi? wewe nani???? UKAWA haijawa threat hivyo na please stop this childish!!! tuma vitu vya kulisha ubongo wetu

sorry
 
Mipasho ndo imesalia kwa wachumia tumbo ccm.


Umeona eeeh,

Wanataka hati ya muungano ya wanaUKAWA wakati wenyewe hawajaona hati au mikataba 19 ya kibiashara kati ya china na Tanzania iliyosainiwa kwa siri na JK. Tuonesheni kwanza hiyo, ndo muwe moral authority ya kudai hati ya Muungano ya wana UKAWA.
 

Ni Mithali 22:1
 
Ni lini cuf wameacha kuwa ccm B?
ni lini nccr mageuzi wameacha kuwa tawi la CCM?
haya majina mabaya mabaya ya kuwachafua wenzenu mchana kisha jioni mnawaita marafiki haamaaanshi uroho wa madaraka wa chadema?

Nisiku walipo jitambua kuwa, hawatakiwi tena kuwa CCMB.
 
CCM wana watu wao kila mahali na katika kila chama cha siasa kwa nia moja tu ya kuhakikisha wanaendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote hata kama ni kwa kumwaga damu za Watyanzania wasio na hatia(kama ilivyodhihirika siku za nyuma).
 


Historia inaonesha walioenda huko walirudi wasaliti.
Pili, wewe unadhani wote waliohongwa lazima wawe na status ya kuwa mbunge? Lile kundi la akina juliana na wenzake walikuwa na status gani mpaka wakarudishwa ccm?

Tatu, nilikueleza kuwa niliongea naye kwa muda mrefu na aka pre empty hoja yake. Lengo lake ni kujitoa kwenye ukawa full stop. Japo ananijia kwa gia kubwa. Sasa unataka niende huko kuangalia fursa gani? Wanaotafuta fursa kwenye siasa ndo wanaotumaliza.

Nne, nilikuambia kuwa kwa kumwangalia tu kwa macho ya kawaida, mtu yule kuniita Ubungo Plaza lazima ametumwa!

Tano, unataka niweke vitu kifuani kwa maslahi ya nani? wakati vitu hivo ni hatari kwa maslahi ya chama chetu.

Sita, mimi sijasema alitaka kuniua, wewe umetoa wapi habari ya kuniua? Hata hivyo, unafikiri ni ajabu kujihadhari?

Saba, mimi kwangu chadema siyo income na ni expenditure kwa faida ya watanzania. Chadema sichumi, ninatumia kwa faida ya watanzania. Mimi ni ninafanya kazi katika mashirika ya kimataifa, siko chadema kutibu njaa, niko chadema kizalendo zaid. kwa hiyo, sihitaji kujipendekeza kwa Kiongozi ye yote.

Na mwisho lazima ujue kuwa kama wewe mbinu yako ni kwenda ili ujue fursa na mimi mbinu au approach yangu ni kutokwenda. Mimi ni mimi na wewe ni wewe. Usitake mimi niwaze na kufanya kama wewe. POLE SANA.

Hata hivyo, wewe waberoya ni nani ndani ya ccm mpaka mimi nimekukera kiasi hiki? Kwa nin imekuuma sana? Kwani wewe ndo ulimtuma huyo aliyenipigia simu?
 
Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha,mjinga anayafuata na kuumia
 


Mkuu Aweda mimi naona kama tayari walishauza, mimi nafikiri tunachopigania sasa hivi ni kama kunakilichosahauliwa na ccm kuuzwa tuiokoe, Maana Tembo tayari wako china, madini yako Europe na Canada, Viwanja vyetu vya ndege vinamilikiwa na wageni.
 
UKAWA wanaakila sana sasa hivi wanahamasisha watu then mwakan kwenye uchaguz wanarud kwenye vyama vyao, dhambi ya uroho itawatafuna milele
 

Mtakamatana uchawi sana mwaka huu
 
1nakupongeza sana ndugu aweda,kimsingi ndani ya vyama ivi kuna watu ambao hawataki kabisa ukawa kwaajili ya maslai yao na uroho wa madaraka,ambayo wanaona hawatayapata kwa muungano uhu, dr slaa,alisema ukawa hatupo ili kugawana vyeo,bali kuwakomboa wananchi, sasa utashangaa hawa wanajidai wanaipenda cdm au cuf,kuliko wananchi ambao maoni yao yanasiginwa na chama cha mapinduzi? hama wafukuzwe haraka wasituaribie sheree yetu 2015,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…