Baada ya kupata maendeleo mazuri ya Lissu, sasa tunaomba tujuzwe maendeleo ya matibabu ya dereva wake

Hoja ya kipuuzi kabisa

Yapo mambo ya msingi ya kujadili

mfumuko wa Bei

bei ya sukari ni hatari

Uchumi umekuwa - Deni la Taifa lakuwa

Shillingi kudorora- Uchumi umekuwa

Biashara sekta binafsi zinakufa...TRA wanakusanya wapi kodi?
 
Mleteni atoe ushahidi kama hajawataja mnamficha wa nini?
Msukule unadhani anaemficha ni nani
Cdm au familia ya lissu,
Km ni cdm wanamficha mbona familia ya lissu hawajawahi kushinikiza akahojiwe?
Yupo sehemu moja na lisu na inakuaje lissu hashikizi akahojiwe?
Km ni familia ya lissu wanamficha kwa nini wanamficha unadhani,hawataki wauaji wasijulikane?
 
Habari za majukumu wana JF.

Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake.

Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva wa Mh Tundu Lissu, Kwa takribani miezi miwili sasa tangu aanze matibabu ya kisaikolojia huku Nairobi baada ya kuathirika kwa kushuhudia tukio la shambulio la boss wake live.

Tunaomba viongozi wa CHADEMA mlioko Nairobi mtujuze maendeleo yake na mpaka sasa gharama za matibabu yake yamefikia ngapi? Ikiwezekana tuambiwe fedha za matibabu yake zimetoka wapi?

Kama walivyofanya kwa mh Tundu Lissu tunaomba tena mtufahamishe maendeleo ya dereva wake na gharama zake.

Nawasilisha
Inawahusu kwani nyinyi si wale wasiojulikana?
 
Dereva wa Lisu akiona tu polisi wamevaa magwanda ya polisi ya kitanzania anapoteza fahamu. Kwahiyo tiba yake itachukua muda sana
 
Msukule unadhani anaemficha ni nani
Cdm au familia ya lissu,
Km ni cdm wanamficha mbona familia ya lissu hawajawahi kushinikiza akahojiwe?
Yupo sehemu moja na lisu na inakuaje lissu hashikizi akahojiwe?
Km ni familia ya lissu wanamficha kwa nini wanamficha unadhani,hawataki wauaji wasijulikane?
Swari la kitoto sana.
 
Foolish Rubbish! Yaani SMG ndo kitu cha ajabu maishani mwako.
Ulishawahi kukoswa na risasi za SMG maishani kwako? Na kama wewe unaona risasi za SMG ni kitu gani sasa nwenzako at age of 25 amekoswa risasi 38 close range, yeye na Lissu walitakiwa wawe kaburini muda huu, sasa if u think this is just a simple thing for you Mungu akubariki sana. Sisi bado tunawaombea hawa watu.
 
Lissu yoko vizuri kichwani mnashindwa nini kumhoji Halafu mna taalamu ya kuhoji walio hai tu

Dereva anatakiwa ahojiwe kwa sababu mazingira yanaonyesha ni wazi alishiriki mpango wa kumuua Lissu. Wanaomficha si ajabu ndio waliomshirikisha kwenye hiyo dili mbovu na hawaamini kuwa dereva hatawataja. Wanamfundisha weeee cha kusema ila hawaamini atasema anachofundishwa. Wanahisi anaweza kuusema ukweli ambao utawatia hatiani. Siku za mwizi 40 tu. Kuna watu wataumbuka hii TZ.
 
Mungu ndiye mtoa hukumu kila MTU atakufa tu hata mkiua wemzenu na nyie mtakufa kwa kifo cha aina hiyo
 
Mleteni atoe ushahidi kama hajawataja mnamficha wa nini?

1. Ushahidi upo kwenye hifadhi ya CCTV mlizoziondoa.
2. Wale polisi 8 mliowapeleka NRB wakamteke dereva ili mumrubuni kwa milioni 40 mtengeneze video ya propaganda imeishia kibashite bashite.
3. Mngefanikiwa kutengeneza hiyo video mpango wa kumuua huyo dereva muwasingizie akina Mbowe wenye akili walishaunasa

WEWE HAPO UNATUMIKIA MAMBUMBUMBU NA WASHAMBA NI WAKUPUUZWA TU
 
Dereva anatakiwa ahojiwe kwa sababu mazingira yanaonyesha ni wazi alishiriki mpango wa kumuua Lissu. Wanaomficha si ajabu ndio waliomshirikisha kwenye hiyo dili mbovu na hawaamini kuwa dereva hatawataja. Wanamfundisha weeee cha kusema ila hawaamini atasema anachofundishwa. Wanahisi anaweza kuusema ukweli ambao utawatia hatiani. Siku za mwizi 40 tu. Kuna watu wataumbuka hii TZ.
Meela hakika umesema machache lakini mazito kabisaa,
Kuna jambo kubwa kabisa hapa. Na huenda wakafanya kila sasa
 
Habari za majukumu wana JF.

Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake.

Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva wa Mh Tundu Lissu, Kwa takribani miezi miwili sasa tangu aanze matibabu ya kisaikolojia huku Nairobi baada ya kuathirika kwa kushuhudia tukio la shambulio la boss wake live.

Tunaomba viongozi wa CHADEMA mlioko Nairobi mtujuze maendeleo yake na mpaka sasa gharama za matibabu yake yamefikia ngapi? Ikiwezekana tuambiwe fedha za matibabu yake zimetoka wapi?

Kama walivyofanya kwa mh Tundu Lissu tunaomba tena mtufahamishe maendeleo ya dereva wake na gharama zake.

Nawasilisha
Mbona umemsahau Kingunge, au alikuwa ni chambo tu? Na wale wanaCCM wa Kibiti, je; wamerudia halu ya kawaida?
 
Back
Top Bottom