Baada ya kupata maendeleo mazuri ya Lissu, sasa tunaomba tujuzwe maendeleo ya matibabu ya dereva wake

Takribani sasa ni miezi miwili na nusu tangu rais wa chama cha wanasheria aliposhambuliwa akiwa yeye na dereva wake

Huyo dereva inasemekana kwa kiasi kikubwa ndiye aliesaidia kumnusuru bosi wake kwa kumwambia alaze kiti cha gari,
baada ya tukio lile kulikua na sarakasi nyingi kuhusu dereva huyo na tulielezwa dereva anatibiwa saikolojia,baada ya hapo hatukusikia tena maendeleo yake,

kwa mwenye kufahamu
vipi dereva bado yupo nairobi au alisharudi hapa nyumbani,

kipindi cha kilimo kidogo kidogo hiki angewasaidia kwenye kampeni zenu,

Wengi wangependa kujua dereva yupo wapi sema wanaogopa kuhoji katiba ya chama haiwaruhusu chini ya dikteta rubani

Kampeni za nini ilihali wabunge washanunuliwa na ccm!
Sisi tunauliza wasiojulikana kama wamejulikana,wewe unakuja kiutani hivo ujue sisi tuko sereous
 
Takribani sasa ni miezi miwili na nusu tangu rais wa chama cha wanasheria aliposhambuliwa akiwa yeye na dereva wake

Huyo dereva inasemekana kwa kiasi kikubwa ndiye aliesaidia kumnusuru bosi wake kwa kumwambia alaze kiti cha gari,
baada ya tukio lile kulikua na sarakasi nyingi kuhusu dereva huyo na tulielezwa dereva anatibiwa saikolojia,baada ya hapo hatukusikia tena maendeleo yake,

kwa mwenye kufahamu
vipi dereva bado yupo nairobi au alisharudi hapa nyumbani,

kipindi cha kilimo kidogo kidogo hiki angewasaidia kwenye kampeni zenu,

Wengi wangependa kujua dereva yupo wapi sema wanaogopa kuhoji katiba ya chama haiwaruhusu chini ya dikteta rubani

Kampeni za nini ilihali wabunge washanunuliwa na ccm!
Naskia anamwendesha kwa Wheelchair
 
Hali ya kifedha ni mbaya kwa familia.Wameomba msaada kwa Serikali iwasaidie kulipia gharama za matibabu kwani zimekuwa juu mno.
Ni aibu kubwa kuomba msaada kwa Serikali uliyoituhumu hapo awali Na kukataa kuzingatia maelekezo yake ya namna ya kumuhudumia mgonjwa. Sasa maji yamefika shingoni wanarudi kulamba matapishi.Wale walowaahidi msaada basi waendelee kuwasaidia.
Sioni umuhimu wala ulazima kwa Serikali kusaidia familia hiyo inayoongozwa na Msaliti namba moja nchini bali fedha hizo kama zipo basi zitumike kwa kazi nyingine kama kuhudumia wakina mama Na watoto.Msaliti atahudumiwa na wasaliti wenzake.
-Akili za kupewa changanya Na zakwako.-
Unajua ktk dunia kuna tiba ya kawaida na tina ya anasa. Mtu yuko kwenye matibabu tukaambiwa kila siku ni milioni 10. Matibabu yenyewe, hapo Nairobi hata siyo nchi ya dunia ya kwanza. Tangu mwanzo nilihisi hiyo ilikuwa ni anasa na siyo matibabu. Zilihesabiwa na sasa hazihesabiwi tena. Pamoja na dhalula ya kumpeleka mgonjwa Nairobi, hapakuwa na sababu ya kulifanya ni jambo la chama na familia yake. Kama ndivyo ilivyo, chama na familia walipe. Kuna wa-TZ wengi wanahitaji tiba nje ya nchi na hawapewi nafasi hiyo kwa urahisi, sasa leo hii kweli ahudumiwe mwansiasa mmoja tu kwa pesa ambayo ingeokoa mamia ya wakulima?
 
Mkuu watu wanapigia humo humo kwani hujui Mbowe? ?
 
Laana haiwezi kuwaacha salama watu kama mtoa mada.

Unasumbuka na Dereva wa nini?
Kama unataka kuhoji nenda kwa Lissu mwenyewe.
 
Habari za majukumu wana JF.

Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake.

Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva wa Mh Tundu Lissu, Kwa takribani miezi miwili sasa tangu aanze matibabu ya kisaikolojia huku Nairobi baada ya kuathirika kwa kushuhudia tukio la shambulio la boss wake live.

Tunaomba viongozi wa CHADEMA mlioko Nairobi mtujuze maendeleo yake na mpaka sasa gharama za matibabu yake yamefikia ngapi? Ikiwezekana tuambiwe fedha za matibabu yake zimetoka wapi?

Kama walivyofanya kwa mh Tundu Lissu tunaomba tena mtufahamishe maendeleo ya dereva wake na gharama zake.

Nawasilisha
Mnaomba Wewe na baba yako au na nani, kwanza weka risiti ya mchango wako wa tiba tujue ulichangia kiasi gani na masharti gani pia kikao mlichofanya ukateuliwa wewe kuwa msemaji wa waliochanga, vinginevyo wewe ni dokta Shika.
 
Back
Top Bottom