Baada ya kuoa, maisha yaliendeleaje mwanangu?

Ya ghafla kama mke umeamka ukamkuta ndani?
Unadhani kama mtu hajazoea kununua chakula in bulk, kupika home, kuacha kodi ya mezani...kesho akiamka anaanza na huo mchakato, anazoea tu...its a shock mama, lazima akili izoeshwe!!!
 
Mimi tangu nimeoa sijawai ku save ata pesa laki 2 sijawai mambo ni mengi Sana, Saa nyingine natamani nimtelekeze sema dah ana mtoto wangu na amenizoea balaa ananipa moyo WA kutafuta ili nielendele kuishi nao lakini show Kali Sana Bora kuishi mwenyewe
 

Jitahidi kusave mzee,
kuna energencies nyingi kwenye Familia
 
Tozi umesanda
 
Dah we jamaa ni waki sana πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mim aliondoka ila najikuta nammiss,na kilichopelekea zaid kummis ni chakula chake kizur na huduma zake zingine ambazo alikuwa ananipa

Ila nina uhuru wa kutosha kwasasa maana ugomvi wetu mkubwa sana ilikuwa kunifatilia fatilia nikichelewa kurudi kesi mara kupigana

Ila sahv naishi kama ndege wa porini
 
Kwahiyo utaoa tena jamaa yangu ?
Mimi mwenzako siwezi kuoa tena nishaharibikiwa sana ,sasa hivi sidhani kama kuna dada wa kunikubali maana sina mbele wala nyuma kaka ,hivi nipo mbeya pazuri hapa nakunywa tuhela twa rushwa twa leo kazini ,nikimalizq niwashe kacorolla kangu nirudi nikalale kama mwichi maana sina wa kulala naye kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…