Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,932
Kabla ya tattoo walishawakiana tamaa kitambo na kukulana hadi bi mkubwa pastor Anna akatishia uhai wa mtu baadae nabii mkuu akamtuliza bi mkubwa tishio likazimwa 😂Ngoja kwanza, sio kwamba walianza kabla penzi liliponoga ndipo bibie akachota tattoo?
Baadae sasa huyo lady akaja kuibukia madhabahuni na hiyo Suprise ya tattoo 😂
Kiukweli walishakulana kitambo