Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..unanikumbusha Ile hadithi ya sungura na ndizi mbivu
Heri ya mwaka mpya wakubwa,
The guy nilishamsemelea sana humu sasa nimepata mbadala wake, nimemuacha aende zake. Sitamlilia tena nimepata mwanaume anaejielewa, so lovely, nina furaha japo sijampa papuchi huyu mpya.
Ni hayo tu.
We mchawi mkuu katemwa kweli asee...Kama bado sana kumpa papuchi siku ukimpa anaweza kukutema muonjeshe mapema akolee
Aisee wakuu nyie mliona mbali...Siku ukimpa usali iwe jambo jem kwake, ujiongeze haswa na unsome kabla yapi anapenda.
Nasema sababu unaweza kumpa na ikawa ndio kwaheri hiyo.
Basi sawa...........na ukimpa utuletee mrejesho mkuu!!!japo sijampa papuchi huyu mpya