Baada ya kunitesa sana sasa nimekubali kumuachia

Hivi kwani ni lazima kila kinachotokea maishani mwenu muje musimulie humu JamiiForumu!??
Kila binadam ana namna yake ya kupunguza maumivu.
Kuna aina nyingi za namna ya kupunguza kile kinacho tikita mtimani, ikiwemo hii ya kuyaleta hapa jf
 
Kwani unawafahamu?
Jiulize kwa nini JF ina majukwaa tofauti?
Hajielewi huyo utadhan kalazimishwa kuingia jukwaa hili. Anyway hajui hapa wanajukwaa wanapeana experience za maisha hususan ya kimahusiano as well as ushauri ambao husaidia/ hunufaisha pia ambao hawajakumbwa na mikasa hiyo
 
Bado unampenda, vizuri kama ungejipa muda kidogo kabla ya kurukia mahusiano mapya.
 
Heri ya mwaka mpya wakubwa,

The guy nilishamsemelea sana humu sasa nimepata mbadala wake, nimemuacha aende zake. Sitamlilia tena nimepata mwanaume anaejielewa, so lovely, nina furaha japo sijampa papuchi huyu mpya.

Ni hayo tu.
Fanya haraka umpe papuchi, aikonge roho yake mwana wa watu.
 
Hajielewi huyo utadhan kalazimishwa kuingia jukwaa hili. Anyway hajui hapa wanajukwaa wanapeana experience za maisha hususan ya kimahusiano as well as ushauri ambao husaidia/ hunufaisha pia ambao hawajakumbwa na mikasa hiyo
Bado tuna safari ndefu sana... Kwa kweli Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom