Baada ya kumwambia ukweli hapigi simu wala SMS

Ulikosea kidogo tu ungefuta picha za mkeo na mtoto mapema hata hivyo umeonesha udhaifu demu mmekutana siku ya kwanza unampa simu akague
 
Baada ya hapo alitaka aje kwako na ahamie kabisa.. kusikia una mke basi umemkata maini yote...

Cheche hilo.. ungegandwa kama ruba mpaka mwaka mwingine kuanza ungebakia masikio tuu...
 
jf bana

kila mmoja hua anagari ya kutembelea

kwanini usisemee tu mlipanda daladala au bajaji
 
Sasa unatupa taarifa au unataka tukushaur nn mkuu .


Kama wew umepotezea weka no au jina sisi tuAnze
 
Back
Top Bottom