Baada ya kumwambia ukweli hapigi simu wala SMS

Habari zenu waungwana,
Mimi kama mtumiaji mzuri wa Facebook alitokea binti mmoja kunipenda sana toka facebook. Akatuma request nika accept basi within 3 minutes akaja inbox mambo nikajibu poa, akaandika i like the way you are.... Nikajibu thanks much. Baadae nikamuuliza how you you like the way iam ....

Kaingilishi kamo nikawa namjibu tuu, badae akanaitumia namba yake nami nikamtumia, ila mabinti qa facebook nishawahi watafuna kama watano hivi... Basi mie nikaona bila hiyana nimpe namba basi akaniona wasap akaja wasap tukachat mengi sana binti mwenyewe wa Kabila la Wamalila toka Mbeya huko ila anafanya kazi Singida Wilaya ya Mkalama... Kazi yake siitaji.

Basi baadaye akawa ananitumia romantic messages lkn muda huo alikuwa mbeya mjini alinambia yuko likizo... Basi nikamwambia niko Dar mimi huku Ubungo ndiko nnakoishi.....

Basi safari ya Dar ikaiva....
Alipokuja dar siku alofika akawa anatamani tuonane the next day nikakataa nikamwambia the second day upumzike kwanza..akakubali siku ilofuata tukaambizaba tuende Beach Tukakutane kule tukapige mastori basi nikajaza mafuta ka RAV 4 Kangu huyo mkuku mkuku..

Nikampitia maeneo ya mawasiliano pale nikambeba one way To beach(jina kampuni) Basi baada ya kufika beach tukanunua machips kule na vinywaji tukala sana, basi ukafika mdavwa story tukaongea mengi sana, basi akaanza uchokozi akawa anataka kunikiss nikawa nagwaya nikaona ataniona wakuja nikapokea busu lake mwororo, tukapiga mapicha mengi tukila mate, basi badae ndio nikaanza kumwambia biography yangu...

Akachukua simu yangu akaanza kupekua picha weee akiona picha ya mdada anauliza huyu nani?? Mara akaendelea hivo hivo ikafika sehemu akaona picha nyingi za mtoto wa kiume akiwa na mama yake.. Akahisi kitu. Huyu mtoto qa nan nikajibu we maliza kuangalia ntakuambia. Badae nikaona analoose tension nikaona nimweleze ukweli kwamba bwana mi nna mtoto na mke lkn tumegombana so now hayupo kwngu kabisa.

Nikaona mtu anabadilika sana kuliko kawaida... Nikamwambia mengi hakuelewa lolote... Mwisho nikamwambia mda umeenda tuondoke njia nzima alikuwa mnyonge sana. Kufika ubungo nikamsindikiza mpaka maeneo ya mawasiliano kwenda kwao... Toka hapo hata wasap hanitafuti aisee, sms hakuna, wala calls...

Ambacho hakiniumizi alinianza yeye kunipenda kwa sura wa kawaida so mkali hata anaonekana kama mtu wa dini kiaina lkn mambo haya anayapenda... Toka hapo hata sina hamu nao nikamblock fb nikablock wasapp nikafuta na namba zake nikaona kero tuu... Mwishowe mke wangu nimeamua kusamehe wiki ijayo anakuja...
Hahahaaaaq acha nicheke kiume mimi,kwa hyo alikua hampendi mwanao siyo.Hawa watoto wakike hua na huruma sometime lakini wanaroho mbaya ajabu ndo mana mi nasema nikiachana na mama watoto wangu nabeba watoto napeleka kwa shangaz yao qfu sioi tenaaaa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom