Baada ya kumwambia ukweli hapigi simu wala SMS

Baada ya kumwambia ukweli hapigi simu wala SMS

Kuna mitandao mingine imelaaniwa, yaani utakuta unamtongoza mtu ANA kwa ANA wala hakutaki, ila ukimtafuta kupitia mitandao fulani ukamtongoza....yaani anakuwa mlaini kama MAINI!. Mitandao kama FB Whatsap etc nadhani imelaaniwa tena aliyeilaani ni mwanaume.....
Umeona eeh
 
Wewe ina mambo ya nn sasa elewa uzi usikurupuke kama mwanamke alobanwa na hedhi
Hasira za nn? Wanavyo sema utu uzima dawa wanamaana ya kuwa uwezo wa kupambambanua mabo, kipi ufanye na ufanye wapi kwa mda gani!!!
Sasa kama bado unakomaa na videmu vya fb mpka Leo, je hao wa mtaani inakuaje? Unadhani mke atavumilia maumivu hayo?
Mm nakuambia ukweli huna haja ya kuwa na chuki na mm wala usitake nikisifie kwa ujinga
 
Sijasema unisifie walahi
 
Basi,bai basi basi.......!!
Hizo basi........basi...... Kama mwanangu ananisimulia hadithi.
 
Haya nimeona...Nakutakia kurudiana kwema na mkeo.Nilikuwa na hamu siku ile ila sasa zimeisha zenyewe!!Ebu tulia na mkeo ulee mtoto..mwanaume mzma kujichatisha Fb..tchao
 
Haha nimependa jinsi ambavyo umetupa details zote mpaka za gari unayomiliki, ila jina la beach mliyoenda umeweka kapuni. Pengine hujataka kuwa promo.

Anyway, xtori fln amaizing. Ukipata nyingine uxixite.
Kwa nini usingeandika vizuri tu, ungepungukiwa nini..
Wewe ni wa kiume?
 
Iv kuna watu wanaotoa matatizo wa jf na kuyapeleka yakatatuliwe fb....nauliza tu na kiherehere changu
 
Unakulaje mate ya mtu usiyemjua vzr mmmhhh.....huogopi hayo mapicha picha ya mate mliyopiga yakisambaa je[emoji32][emoji32] wasichana nao kujirahisisha gani huku..ht km ndio kukosa boyfrend sio kujishusha huku...uchangu dotcom
 
Watu mnaponda fb ili hali mnashinda huko!
Binafsi mke wangu mtarajiwa nilimpata huko na tupo poa sana tu.
Long live fb.
 
Back
Top Bottom