duhWewe ina mambo ya nn sasa elewa uzi usikurupuke kama mwanamke alobanwa na hedhi
loh haya bhanaLengo lako ni kusema kwamba una rav 4 basi.
unaota eeeh haya sawaBasi,bai basi basi.......!!
Hizo basi........basi...... Kama mwanangu ananisimulia hadithi.
Duh jamani eleweni alinianza yeyeHaya nimeona...Nakutakia kurudiana kwema na mkeo.Nilikuwa na hamu siku ile ila sasa zimeisha zenyewe!!Ebu tulia na mkeo ulee mtoto..mwanaume mzma kujichatisha Fb..tchao
Si ndiyo mm sasa nimejitokeza?Duh jamani eleweni alinianza yeye
huo ni mtazamo wa kila mmoja ukijifanya unacho wakati huna utaumbuka mimi nnako hako ka RAV4jf bana
kila mmoja hua anagari ya kutembelea
kwanini usisemee tu mlipanda daladala au bajaji