Baada ya kumuoa ndio nimejua alishazaa na mwanaume mwingine

Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.

Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.

Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.

Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.
Mkuu hukumchunguza kabla ya kumuoa? Mlikaa mda gani kabla hujamuoa? Ulishawahi kumuuliza kama ana mtoto??
 
Mimi yamenikuta kama yako ndg na nishaweka uzi hapa nikashambuliwa sana ila wamawake hamjui tu jinsi mnavyotuathiri kisaikolojia tulijua mlitudanganya na mna watoto
 
Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.

Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.

Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.

Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.
Je! Uliwahi kumuuliza akakudanganya?
Ikiwa hukuwahi kumuuliza sioni kosa lake, umenda boga penda na maua yake
 
Mimi naomba nikushauri kwa kukuuliza swali "kwa mfano umenunua nyumba ya kuishi ukakaa kwny hiyo nyumba miezi 3 baadae ukagundua kwamba mbele ya hiyo nyumba uliyonunua mlango mlango wa mbele wa kuingia ndani kuna kaburi je utaendelea kuishi kwny hiyo nyumba?
 
Nilikuwa nafikiria huyo mwanamke atakuwa ana mwili mzuri sana mpaka azae watoto wawili halafu usijue wakati wa faragha. Au wewe huna experience ya kujua.

Ili moyo wako utulie achana naye.

Tunajifunza kwa matatizo na shida za jana.
 
Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.

Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.

Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.

Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.
Ndoa ya kikristu: kama mwenza mmojawapo hakuwahi kusema wazi ana watoto mpaka ndoa inapofungwa ndio inagundulika, basi ndoa hiyo sio halali. Hili ni kosa la kubatilisha ndoa moja kwa moja.
 
Kama unaipenda na hujawai kukuonyeshea mambo ya kusarit ndoa yenu hakuna haja ya kumuacha bcz wana wake wa saiv hata ukimpata ambae haja zaa bado utakuwa ni mtihani tu katika swala zima la ndoa cha msingi ishi nae vizuri tu acha kusikia maneno ya watu mungu ata bariki ndoa yenu
 
Mmm!!!!! hasara za kutOpeleleza ukweni na ASIE SIKIA LA MKUU ----------- na ukmwacha ata wew ushakuwa singo fadha nani atakae kukubali?? labda masingo wenzio.
 
Wapendwa nimepitia post za hii thread tuhuma nyingi kwa single mothers. Ninataka niwahakikishie siyo single mothers wote wana relation na ex lover or hubby. I am my own case. Sina mawasiliano na ex hubby for say 10 years hard na 5 years za kusumbuana so makes 15 years. Same to my kids mmoja for 14 years high hamjui baba yake huyo na mwingine alivamia shule baada ya kupewa taarifa na Rafiki yake so mtoto alimkana mbele ya waalim na kilichofuata ni mlinzi aliitwa aje akamate. Hatosahau na hakurudi tena that was 2012 shuleni. Mwanangu the next day told school admin "do not let that stranger comes here again". Kama yuko JF ninajua anajua what SMS the child sent him via me.

Kwa upande mwingine kwa hiyo hata mwanamke usiolewe na mwanaume mwenye mtoto kwa kuwa atarudi kukumbushia. Kwake mnaona it is fine ila siyo kwa mwanamke. Try to balance matters.
 
Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.

Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.

Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.

Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.
Boresha ndoa yenu tu kitanda hakizai haramu.
 
Huyo dada alikosea sana kutokua muwazi. Hicho ni kitu kikubwa ilibidi akuambie kabla hamjoana
 
Back
Top Bottom