..sijui nimgonge halafu nimwache coz kanisumbua xana huyu mtoto..ebu nishaurin
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii..ni binti Wa kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka Wa kwanza pale tumaini university..nilimpenda xana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu..Leo kama masihala nilisema nimkumbushie hatimae mtoto katiki bhana..sijui nimgonge halafu nimwache coz kanisumbua xana huyu mtoto..ebu nishaurin