Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipomtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia.
Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto kazaliwe na yeye akatae nimeshazoea maisha yangu napambana kumlea mwanangu peke yangu as a single mom na msaada pia kutoka kwa ndugu.
Sasa baba wa mtoto kanitafuta ananiambia tuonane akirudi kwa sasa yupo safari.
Naomba mnipe mawazo, je akirudi nimskilize anasemaje au niachane naye kama alivyonitendea yeye kipindi chote cha ujauzito mpaka nilivyojifungua.
Nakumbuka wakati namwambia mtoto tayari alichonijibu ni i don't want it and I have nothing to do with it.