Sio ushirikina mkuu
Mimi hali hiyo kuna wakati ilikua inanitokea pia. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina, nikagundua tatizo ni mazingira ya kufanyia mapenzi/kulala, wala sio ushirikina wala nini. Mfano kama chumba mnacholala hakina HEWA ya kutosha, au kuna JOTO kali, na mmegegedana humo, ukilala huwezi pata usingizi wa maana utakua unaota ndoto za ajabu na kushtukashtuka usiku kucha! Pia uwezekano wa kuamka unaumwa kichwa ni mkubwa.
Ukitaka kuhakikisha nnachosema, next time mchukue demu huyo huyo, halafu nenda nae lodge ya maana, safi na yenye hewa ya kutosha au AC uone utakavyolala kama mtoto baada ya shoo.