Tuanzie hapo kwenye jamii za wapi?Yani kujitoa kwenye uongozi ni kana kwamba nimejivua undugu hizi jamii zetu shida sana
Sikuwaita wote ila niliwaambia jinsi tunavyopata tabu kukusanya pesa na jinsi wakubwa wanvyohujumu shida ni kuwa wakubwa zetu wanaogopeka na baadhi ya wanafamilia kwahiyo ukiwakazia wewe ndio waonekana heroMambo ya mirathi kipengele sana, wenye roho ndogo wanatoana hata uhai..
Kabla ya kujitoa uliwaita ndugu zako wote, uliwaeleza kinagaubaga, mbivu na mbichi zijulikane?
Ungewaita na kuwachana wote kwa pamoja..Sikuwaita wote ila niliwaambia jinsi tunavyopata tabu kukusanya pesa na jinsi wakubwa wanvyohujumu shida ni kuwa wakubwa zetu wanaogopeka na baadhi ya wanafamilia kwahiyo ukiwakazia wewe ndio waonekana hero
Sometimes inabidi ujifunze kuvumilia naelewa sana unachokiandika na najua maumivu unayoyapata ila kukutenga haina maana kwamba wamekusahau ila watakua wamepewa maelezo negative kuhusu wewe ndio maana wengine wakafuata aliewaelekeza ndio mwenye makosa sio wewe ndugu, wewe sio kosa lako kuachia ngazi na kutokujihusisha na makusanyo ya hizo fedha ila kosa ni kuwawekea ngumu hao ndugu zako uliowabaini km ni wabadhirifu wa mali zenu za mirathi na kutokuwepo kwako wewe ni nafuu kwao ndio maana wanakuweka mbali ili waendelee kupiga sababu ukiweka karibu utawasanua wengine sasa mkosanuka wengi huoni kwamba itakua shida?Kwanini hazina mashiko mkuu unajua kugombana kisa pesa sio kuzuri
Dah kweli hasira amekimbi kabla hajaweka mambo wazi ili mbivu na mbichi zijulikaneSometimes inabidi ujifunze kuvumilia naelewa sana unachokiandika na najua maumivu unayoyapata ila kukutenga haina maana kwamba wamekusahau ila watakua wamepewa maelezo negative kuhusu wewe ndio maana wengine wakafuata aliewaelekeza ndio mwenye makosa sio wewe ndugu, wewe sio kosa lako kuachia ngazi na kutokujihusisha na makusanyo ya hizo fedha ila kosa ni kuwawekea ngumu hao ndugu zako uliowabaini km ni wabadhirifu wa mali zenu za mirathi na kutokuwepo kwako wewe ni nafuu kwao ndio maana wanakuweka mbali ili waendelee kupiga sababu ukiweka karibu utawasanua wengine sasa mkosanuka wengi huoni kwamba itakua shida?
Imagine familia ina watu km wewe 8 na jumla mpo 10 hao kaka zako wawili wapigaji unahisi watapumua si patachimbika? Ulichotakiwa kufanya ni kuweka kikao nao km kawaida na usingejivua kwanza ungeeleza ukweli wote then ungeeleza kwamba km hii hali itaendelea namna hii basi mimi nitajivua hili koti la uongozi maana linanishinda, lakini umechelewa kufanya hivyo sasa cha kufanya ni wewe ndio unaetakiwa kurudi na kuweka mambo sawa sawa na kueleza ukweli ili watu waelewe kwamba walichoambiwa sio ukweli wewe kukaa mbali na kukaa kimya hujui labda wao wameambiwa wewe ndio Mwizi mkubwa wa mapato ya familia unakusanya pesa unazila unajuaje?
Ndio chanzo cha kukuangakia vibaya kumbe tulijua yule mtu mzuri kumbe anakusanya pesa anakula mwenyewe pesa zetu za miradi yeye anazitafuna bila aibu? Hapo cha kifanya anza kujenga ukaribh rudi kwenye vikao vyenu ukaeleze ukweli maana watu washapewa sifa mbaya kuhusu wewe ndio maana wamekuweka kando. Pole sana.
Sasa kama mnagombana na mwisho wanalipa kuna shida? Huenda wewe unavijihela kidogo kwahiyo unataka wenzako walipe ontime wakati wanaunga unga maisha lazima wavumilie kidogo. Afu mambo ya kuzila zila kwa mwanaume hayapendezi. Rudi kwenye familiaKwanini hazina mashiko mkuu unajua kugombana kisa pesa sio kuzuri
Mkuu sikuwaita kwasababu wanajua na nilikuwa nawasiliana nao mara kwa mara wanafamilia wote na ndio utaratibu tulioweka ili kuwahabarisha makusanyo au uwekezaji mpya unaotokeaUngewaita na kuwachana wote kwa pamoja..
Sometimes bora hivyo tu uwaachie ving'ang'anizi wa mirathi waleKuna familia ya rafiki yangu wao wamegawanyika makundi mawili.
Ndani na nje ya nchi.
Wale wa nje ya nchi wakawaambia wenzao kuwa hawataki chochote waendelee na mirathi.
Hivyo wale wa ndani wakabeba vyote .
Sometimes inategemea na makuzi.
Hao wa nje 70 % ya maisha yao ilikuwa nje ya nchi so nyumbani hawakuona umuhimu wowote.
Mkuu umeongea vyema kiuhalisia wale ndugu wakubwa kutokuwepo kwangu kwenye uongozi ndio wamefurahia ili waendelee kupiga fix zao kwenye Ile mirathi na walikuwa wakifanya hivyo huko nyuma kabla ya uongoziSometimes inabidi ujifunze kuvumilia naelewa sana unachokiandika na najua maumivu unayoyapata ila kukutenga haina maana kwamba wamekusahau ila watakua wamepewa maelezo negative kuhusu wewe ndio maana wengine wakafuata aliewaelekeza ndio mwenye makosa sio wewe ndugu, wewe sio kosa lako kuachia ngazi na kutokujihusisha na makusanyo ya hizo fedha ila kosa ni kuwawekea ngumu hao ndugu zako uliowabaini km ni wabadhirifu wa mali zenu za mirathi na kutokuwepo kwako wewe ni nafuu kwao ndio maana wanakuweka mbali ili waendelee kupiga sababu ukiweka karibu utawasanua wengine sasa mkosanuka wengi huoni kwamba itakua shida?
Imagine familia ina watu km wewe 8 na jumla mpo 10 hao kaka zako wawili wapigaji unahisi watapumua si patachimbika? Ulichotakiwa kufanya ni kuweka kikao nao km kawaida na usingejivua kwanza ungeeleza ukweli wote then ungeeleza kwamba km hii hali itaendelea namna hii basi mimi nitajivua hili koti la uongozi maana linanishinda, lakini umechelewa kufanya hivyo sasa cha kufanya ni wewe ndio unaetakiwa kurudi na kuweka mambo sawa sawa na kueleza ukweli ili watu waelewe kwamba walichoambiwa sio ukweli wewe kukaa mbali na kukaa kimya hujui labda wao wameambiwa wewe ndio Mwizi mkubwa wa mapato ya familia unakusanya pesa unazila unajuaje?
Ndio chanzo cha kukuangalia vibaya sababu ya kile walichoambiwa kuhusu kwa namna negative sio positive ndio wanasemezana tulijua yule mtu mzuri kumbe anakusanya pesa anakula mwenyewe pesa zetu za miradi yeye anazitafuna bila aibu? Hapo cha kufanya anza kujenga ukaribu rudi kwenye vikao vyenu ukaeleze ukweli maana watu washapewa sifa mbaya kuhusu wewe ndio maana wamekuweka kando. Pole sana.
Wewe waite, kisha uwachane wote, ishu ilipoanzia, ulipojitoa na wanayokufanyia, wachane hao wengine kwa uoga wao na unafiki, mi huwa sicheki na kima, waeleze ulichokuwa unachokipambania ni haki ya wote, na kama wameamua kukutenga kisa uhalia na iwe hivyo, ila haki zako unazitaka wasilete ukima.Mkuu sikuwaita kwasababu wanajua na nilikuwa nawasiliana nao mara kwa mara wanafamilia wote na ndio utaratibu tulioweka ili kuwahabarisha makusanyo au uwekezaji mpya unaotokea
Hivyo kila tunapopata changamoto huwa tunawashirikisha wanafamilia wote kwa simu na hadi najiuzulu niliwaambia mmoja mmoja kwa kutumia simu lengo lilikuwa sitakutaka kuendelea kugombana na kaka zangu kwa ajili ya mirathi
Nahisi hujanipata vema mkuu jaribu kusoma tena tupate kwenda pamojaSasa kama mnagombana na mwisho wanalipa kuna shida? Huenda wewe unavijihela kidogo kwahiyo unataka wenzako walipe ontime wakati wanaunga unga maisha lazima wavumilie kidogo. Afu mambo ya kuzila zila kwa mwanaume hayapendezi. Rudi kwenye familia
Umewaambia ukiwa wapi? Nimekwambia uwaambie kwenye kikao na hao waizi waulizwe kwamba unachosema ni ukweli au sio kweli? Najua wataeleza vizuri au unaogopa kurupushani nao wanaweza wakakushika shati?Kuhusu kuwaambia changamoto wote nimewaambia ila pia hawana la kufanya wengine ilimradi wapo tu nao wanaacha liwalo na liwe
Tuliweka utaratibu wa vikao vya kila mwaka na tulikaa vikao viwili toka tuanze nilitarajia kikao cha mwaka huu ambacho kilitakiwa kikaliwe kwenye sikukuu ya iddi niwepo nieleze ukweli badala yake kikao hakikukaliwaWewe waite, kisha uwachane wote, ishu ilipoanzia, ulipojitoa na wanayokufanyia, wachane hao wengine kwa uoga wao na unafiki, mi huwa sicheki na kima, waeleze ulichokuwa unachokipambania ni haki ya wote, na kama wameamua kukutenga kisa uhalia na iwe hivyo, ila haki zako unazitaka wasilete ukima.
Vikao vyenyewe siku hizi hata sishirikishwi na vile vya kila mwaka ambavyo tuliviweka ambapo ndugu wote tunakuwepo hata aliembali lazima aje havikaliwi cha mwaka huu naona kimepita kimyakimyaUmewaambia ukiwa wapi? Nimekwambia uwaambie kwenye kikao na hao waizi waulizwe kwamba unachosema ni ukweli au sio kweli? Najua wataeleza vizuri au unaogopa kurupushani nao wanaweza wakakushika shati?