Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Sijui ni namna gani tunaingia katika mahusiano bila kujua maisha ya nyuma ya wenza wetu yalikuwaje.Kuna mambo akinidanganya ahakikishe sitayajua maana nikiyajua tu naachana nae, vinginevyo kabla hatujaingia kwenye mahusiano ya kudumu aniambie ili nifanye informed decision kama niwe nae au la.
Akinidanganya hana mtoto kumbe anae, siku nikijua naachana nae on the spot. Aliwahi kua changudoa,aliwahi kutoa mimba,aliwahi kuolewa. Hayo anatakiwa kuniambia mapema,akificha siku nikijua naachana nae haraka sana.
Sijui ni namna gani tunaingia katika mahusiano bila kujua maisha ya nyuma ya wenza wetu yalikuwaje.
Haya mambo ya kuwa aliwahi kuzaa au changudoa yanatakiwa yajulikane kabla kabisa ya kuingia katika mahusiano
Ni shida ukiwa nae, utakosolewa kwa kila kitu Mkuu!
Upo tayari kwa asiyekukosoa lakini kakiri kuwahi kutoa mimba 3?
Huyo changu ambaye umeamua awe mtu wa future umefikiria madhara ya utoaji mimba km; premature birth,ugumba,miscarriages,underweight babies
Yesterday is gone but tomorrow is forever by Dolly PartonNi shida ukiwa nae, utakosolewa kwa kila kitu Mkuu!
Na ole wako niyajueMe mwenyewe yangu ya nyuma huenda sitaki ayajue ndio nianze kuumiza kichwa kujua take?? Haipo hiyo
Hahahaah hata ukiyajua hayatakuumiza mpenzi.Na ole wako niyajue
Mwaaaah baby.Hahahaah hata ukiyajua hayatakuumiza mpenzi.