Baada ya kuagiza mzigo Aliexpress

Baada ya kuagiza mzigo Aliexpress

mkuu hivi hao DHL mzigo unachukulia posta zetu au ofisi za DHL
Kwenye ofisi zao zilizoenea mikoa mingi nchini. Ama wanaweza kukuletea mpaka mlangoni nyumbani unapokaa ama ofisini unapofanya kazi.
 
Wakuu ule mzigo nimeupata na Leo posta walinipigia simu nikachukue,
Ila nilichogundua mizigo midogo inachelewa sana kuja au free shipping unasubiri mpaka unakoma.
 

Attachments

  • IMG_20190826_152155.jpg
    IMG_20190826_152155.jpg
    86.9 KB · Views: 18
Back
Top Bottom