The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Usitumie neno Kidogo unapotaka kutumia DHL.Ulitakiwa utumie DHL.(ingawa ela ingeongezeka kidogo).!!!
Usitumie neno Kidogo unapotaka kutumia DHL.Ulitakiwa utumie DHL.(ingawa ela ingeongezeka kidogo).!!!
Unanua mkuu fresh kabisa wala akuna tabu labda kuna kitu unakoseaSorry mkuu hivi huwezi kununua kwa simu,make kwangu naona inanigomea had computer!
Dhl bei yao ni hatariUsitumie neno Kidogo unapotaka kutumia DHL.
Me natumia app ,nielekeze bas nafanyaje mkuu!Unanua mkuu fresh kabisa wala akuna tabu labda kuna kitu unakosea
Nenda ofisi za ems posta ya eneo lako, nenda dhl ofisi zao kama uliwatumia, mwisho nenda ofisi za posta kaangalie sanduku lako.Heshima kwenu wakuu, Twende kwenye mada Niliagiza mzigo kampun iyo hapo juu, mpaka kuwasili ilionesha wiki 6 ambayo ni tar 16 ya mwez huu wa 8 toka tareh 12 ya mwez wa 7. Sas ile tarehe imewadia na kwenye track inaonyesha tareh zimeshafutika tayr na zimepita siku chache , sasa nahitaj kujua wale wazoefu hii ishu ipoje japo kwenye email wameandka finalized ya kila kitu na kuachia malipo yangu ni tar 12 ya mwez Wa 9 it means ikitimia tarehe iyo basi akuna tatizo na malipo yana achiwa. So nisubir mpaka Wa Tisa au ipoje hapo?
Au direct niend kweny open dispute maana sija confirm mzigo kupokea na ship inaonyesha kwenye iyo screen short bado kidogo Kufinish.
kwaiyo nisubiri au vipi pia sijapokea email ya mzigo kuwasili,
msaada wenu wale wazoefu Asanteni.
Poleni kwa mtakao ona uhandshi mbovu.
Mi pia natumia app na ata huo mzigo nimenunua kupitia simu kweny app kila kitu ume register?Me natumia app ,nielekeze bas nafanyaje mkuu!
Nadhani hajui gharama za DHL huyoUsitumie neno Kidogo unapotaka kutumia DHL.
Heshima kwenu wakuu, Twende kwenye mada Niliagiza mzigo kampun iyo hapo juu, mpaka kuwasili ilionesha wiki 6 ambayo ni tar 16 ya mwez huu wa 8 toka tareh 12 ya mwez wa 7. Sas ile tarehe imewadia na kwenye track inaonyesha tareh zimeshafutika tayr na zimepita siku chache , sasa nahitaj kujua wale wazoefu hii ishu ipoje japo kwenye email wameandka finalized ya kila kitu na kuachia malipo yangu ni tar 12 ya mwez Wa 9 it means ikitimia tarehe iyo basi akuna tatizo na malipo yana achiwa. So nisubir mpaka Wa Tisa au ipoje hapo?
Au direct niend kweny open dispute maana sija confirm mzigo kupokea na ship inaonyesha kwenye iyo screen short bado kidogo Kufinish.
kwaiyo nisubiri au vipi pia sijapokea email ya mzigo kuwasili,
msaada wenu wale wazoefu Asanteni.
Poleni kwa mtakao ona uhandshi mbovu.
Hata mimi nashida hiyo hiyo ninachojua mara nyingi mizigo midogo ndiyo inavyokuwa wanachelewesha sana ishanitokea zaidi ya mara 3 hii ni cover ya simu nasikilizia hizo siku tatu zilizobaki then nicheck nao.
View attachment 1186525
Mimi wa kwangu unaonekana umefika...Kinachofuata hapo ndio sijui na nahitaji msaada...watanipigia simu au niende posta kufatilia?
Vitu vinafika mkuu..punguza preshaNinashida hiyo hiyo. Ila naona nisamehe tu maana nilinunua kitu cha $20 nijaribishe kama vinafika
Ni ghali sana ule usafiri.Nadhani hajui gharama za DHL huyo
DHL unatoka nduki mwenyewe bila kushurutishwaNi ghali sana ule usafiri.
Just wait brother mzigo ukifika utatumiwa sms na posta ambao utakua na code ya mzigo wakoHeshima kwenu wakuu, Twende kwenye mada Niliagiza mzigo kampun iyo hapo juu, mpaka kuwasili ilionesha wiki 6 ambayo ni tar 16 ya mwez huu wa 8 toka tareh 12 ya mwez wa 7. Sas ile tarehe imewadia na kwenye track inaonyesha tareh zimeshafutika tayr na zimepita siku chache , sasa nahitaj kujua wale wazoefu hii ishu ipoje japo kwenye email wameandka finalized ya kila kitu na kuachia malipo yangu ni tar 12 ya mwez Wa 9 it means ikitimia tarehe iyo basi akuna tatizo na malipo yana achiwa. So nisubir mpaka Wa Tisa au ipoje hapo?
Au direct niend kweny open dispute maana sija confirm mzigo kupokea na ship inaonyesha kwenye iyo screen short bado kidogo Kufinish.
kwaiyo nisubiri au vipi pia sijapokea email ya mzigo kuwasili,
msaada wenu wale wazoefu Asanteni.
Poleni kwa mtakao ona uhandshi mbovu.
mkuu hivi hao DHL mzigo unachukulia posta zetu au ofisi za DHLUlitakiwa utumie DHL.(ingawa ela ingeongezeka kidogo).!!!
====
Ushauri ufuate wa hao waliokupa wachangiaji wa awali.
hawa ni hatari mkuu,kitu umenunue $100 shipment unakuta ni $220,hatai fireDHL unatoka nduki mwenyewe bila kushurutishwa