IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,549
- 2,668
Heshima kwenu wakuu, Twende kwenye mada Niliagiza mzigo kampun iyo hapo juu, mpaka kuwasili ilionesha wiki 6 ambayo ni tar 16 ya mwez huu wa 8 toka tareh 12 ya mwez wa 7. Sas ile tarehe imewadia na kwenye track inaonyesha tareh zimeshafutika tayr na zimepita siku chache , sasa nahitaj kujua wale wazoefu hii ishu ipoje japo kwenye email wameandka finalized ya kila kitu na kuachia malipo yangu ni tar 12 ya mwez Wa 9 it means ikitimia tarehe iyo basi akuna tatizo na malipo yana achiwa. So nisubir mpaka Wa Tisa au ipoje hapo?
Au direct niend kweny open dispute maana sija confirm mzigo kupokea na ship inaonyesha kwenye iyo screen short bado kidogo Kufinish.
kwaiyo nisubiri au vipi pia sijapokea email ya mzigo kuwasili,
msaada wenu wale wazoefu Asanteni.
Poleni kwa mtakao ona uhandshi mbovu.