Baada ya kuachana na matumizi ya pombe

Baada ya kuachana na matumizi ya pombe

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
678
Reaction score
308
Ashukuliwe Mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.
 
walio na mafanikio wote hawanyw pombe?!!
 
Karibu sana mkuu,ila jichnge kama miez 6:
ikiisha hiyo hapo uamini umeacha kweli.ila kama ni wk 2 au mwez 1.hapo bado kdgo.
 
Usitake kuwaharibia TRA makusanyo na Watengenezaji Kinywaji mapato!!! Kunywa kiasi; siyo uwe CHENGA!!!! Pombe si mbaya kama udhaniavyo; wewe hukuwa na SPEED GOVERNOR
 
ila unakosa mengi madili kwenye pombe...labda kama wewe si mtu wa dili

pesa unatafuta ili utumie...mie nakushauri uache kunywa chai/ supu asubuhi ili uongeze kipato chako...

pombe inasaidia kujiliwaza kama kwenda disco na kwingineko...usipokuwa makin msongo wa mawazo unakunyemelea...
 
Umepunzika mkuu
Ngoja nikale viroba mie

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nasema kutokana na kapiriensi. pombe ni mbaya kwa ubongo. moyo
maini. figo hata utumbo. Pombe ni mbaya kijamii na ndio inayosababisha asilimia arobaini ya maovu duniani. Nenda vituo vya polisi muda wa saa nne usiku utakuta wengi wa wahalifu ni walevi. Familia nyingi huvunjika na kukosa upendo kisa pombe. Wanawake wengi wanachepuka kwa sababu waume zao wakilewa hawawezi kuwahudumia kindoa.
THE BEST TIME TO STOP DRINKING WAS YEARS BACK. THE NEXT BEST TIME TO STOP DRINKING IS TODAY
 
ila unakosa mengi madili kwenye pombe...labda kama wewe si mtu wa dili

pesa unatafuta ili utumie...mie nakushauri uache kunywa chai/ supu asubuhi ili uongeze kipato chako...

pombe inasaidia kujiliwaza kama kwenda disco na kwingineko...usipokuwa makin msongo wa mawazo unakunyemelea...

Hahahaaa.....aise kama mimi sijapiga chai kitambo sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Karibu sana mkuu,ila jichnge kama miez 6:
ikiisha hiyo hapo uamini umeacha kweli.ila kama ni wk 2 au mwez 1.hapo bado kdgo.

Naamini ntaweza mkuu maana mpaka sasa ni mwezi wa tatu
 
---- mlevi mmoja mbwa pale Mwenge baranara ya ITV anatamba kwamba ana zaidi ya miaka kumi hajanywa chai. Utamkuta asbh kwa mama ntilie akinywa viroba na chapati. Afya yake ni mgorogoro tupu
 
poor planing and management ndiyo adui wa maendeleo yako .. kama unabajeti ya hiyo sidhani kama maendeleo yatakimbia kisa pombe.... kama ni hivyo basi nahis chakula ndiyo adui mkubwa wa maendeleo...
 
Nakupongeza sana kwa kujitambua na kutambua hilo.
Unywaji wa pombe ni hdmbai kwa Ukristo na Uislam.
Na ndio maana mapadri ukiwauliza suala la Pombe wanakujibu moja kwa moja.

Mungu akusaidie kwa hilo,pia jitahidi sana kuwa mtu wa Ibada ili mungu akusamehe uliyoyafanya,wapo watakaokubeza maana wao Pombe ndi maisha yao.
Kufanikiwa na kutofanikiwa ni majaaliwa ya Mungu,ila hakuna amabe hajui kama Pombe imewapati wengi sana Gonjwa la Ukimwi kwa ngono mbovu,na wengine maradhi tele ikiwemo Sukari,Ini,figo nk.

Walevi sikuzote huwa wanamajonzi sana kuondokewa na Member mwenzao na hiyo ndio kazi ya Ibilisi.
Ubarikiwe
 
Usitake kuwaharibia TRA makusanyo na Watengenezaji Kinywaji mapato!!! Kunywa kiasi; siyo uwe CHENGA!!!! Pombe si mbaya kama udhaniavyo; wewe hukuwa na SPEED GOVERNOR

Nimecheka sana, pombe haina speed governor mkuu
 
Back
Top Bottom