Wameshaanza kurejea baada ya kuona maisha magumu kwa bwana Mpya.Meli ya Captain Magufuli ilishaondoka na kila anayeondoka/anayedondoka anatupunguzia mzigo! Hata mia wanaruhusiwa kutupisha waende!
ATA WENDE TU!
Emmanuel Nchimbi teamLowassa anaeimaliza ccm bila wao kujua
Nyota ya Lowassa sio ya kuchezewa, JK kachezea Shilingi chooni