Janeth Magufuli amin usiamin. Ni kwa kumkomoa
Bila kumsahau mwana mabadiliko mwezetu Magufuli!
Nchimbi, Sophia simba....
jenister mhagama, kimbisa, bilali, mchimbi, sophia simba, diana chilolo, bona,
Unakumbuka wale wajumbe Wa halmashauri kuu ya CCM waliokuwa wanaimba "tuna imani na lowassa .. Oyaaaa oyaaaa" siku ya kupitisha majina. Wale ndio watakaolinda kura zake. TAKE MY WORD TODAY tukutane October 25
Ndg wanaJF...
Nawasalimu kwa imani yangu!
Nadhani halitakuwa jambo baya kama tukijikumbusha na kufahamishana juu ya wanaCCM waliowahi kukiri kumuunga mkono mwanaCCM mwenzao ndg Lowassa ambaye ni mgombea wa CHADEMA.
Mwapachu aliwahi kuzungumza na sasa amemfuata. Je, unadhani ndani ya jimbo lako au kata yako, kuna mgombea wa CCM ambaye atamfuata Lowassa?
Tujulishe na sisi tuwe wa kwanza kufahamu! Pengine aliwahi kukiri kumuunga mkono au kuonesha yuko TeamLowasa... Tufahamishane mapema. Au?
Naomba kuwasilisha...
Anataka kumkomoa kwa lipi? Si itakuwa kali!
Nusu ya kura zote atakazopata lowassa zitatoka ccm .