Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

Nchimbi.... Hata akimnadi Magufuli anafanya kishkaji sana.. Moyo wake wote kwa EL. Halafu kuna yule mama wa Singida Diana Chilolo yule piga uwa kura yake ni kwa Lowassa.
 

Attachments

  • 1444833029201.jpg
    1444833029201.jpg
    46 KB · Views: 850
Kwanin unataka kuwajua kwa nguvu? Unataka kuwafanyia nn?
 
sio busara kuwataja inzi wetu waliojichimbia wacha waendelee kutujuza yooote yanayojiri ila tarehe 19.23 watajua ukweli wa mambo pepooooooos
 
Uchaguzi Wa mwaka huu ni mgumu; lakini ni vizuri watanzania wakaamua kwa misingi ya imani zao Juu ya Maisha wakioanisha na Sera za wagombea Wa vyama. Mungu aweke mkono wake ktk uchaguz huu muhimu kwa taifa
 
Kuna wachache walio baki, naamini nao watamfuata mamvi, ila sijui kwanini tunawapokea hawa watu.
Sipendi kitendo hiki fisadi wa ccm anae kuja ukawa nifisadi tu, kama tulimpokea Lowassa ilikuwa inatosha wengine tungewakataa kabisa.
 
Ndio Maana Magufuli huwa anasemaga " bado kuna kikundi cha watu wachache serikalini, kina uwezo wa kifedha, ambao wanampiga vita , . Na amehhaidi kulala nao mbele soon atakapoingia madarakani.

Lowasa ni Master lazima atakuwa ameandaa SUPRISE ingine kuinyongonyesha CCM
 
Wenyeviti na makatibu wengi wa mikoa na wilaya wa ccm wote ni timu lowasa. Na wanaemdelea kufanya kazi nzuri underground ya kumwombea kura

Jk ameshawahamisha wote kuwasambaratisha ili Lowassa asipate kura zao.
 
Back
Top Bottom