Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

Dhambi ya kukumbatia fisadi lazima iwatafune, Lowasa, hatokuwa Raise wa nchi hii hata kwa kura yangu moja

Laana ya kukumbatia mafisadi inaitafuna ccm.wamewakumbatia na kuwaenzi mafisadi waliouza nyumba za serikali,ESCROW,EPA,mabehewa ya treni,malipo hewa ya barabara,vivuko chakavu,richmond nk.hawa tunawaenzi kwa sababu hawapingani na mfumo.mfumo wa kulinda na kutetea uzembe na kutowajibika.ccm kweli imeoza.ccmHAIFAI.
 
Emmanuel Nchimbi teamLowassa anaeimaliza ccm bila wao kujua

kama wewe unajua unafikiri kama ni kweli wao hawajui? well ni rahisi zaidi kummonitor adui ukiwa karibu nae kuliko akiwa mbali.
 
Wenyeviti na makatibu wengi wa mikoa na wilaya wa ccm wote ni timu lowasa. Na wanaemdelea kufanya kazi nzuri underground ya kumwombea kura
Mwenyekiti wa Umoja wa Viajna wa CCM (UVCCM) Bwana Sadifa Juma ni TeamLowassa wa kufa mtu!!
 
Last edited by a moderator:
Babu ni yule yule...
Chadema ni ile ileee..
Mtaisoma.... Mwaka huu ni wa Lowassa.. 💃💃
 
Tatizo lenu mnajua upande mmoja tu na upande wa pili hamjui control mechanisms zilivyopangwa na zinavyotekelezwa
 
Ndg wanaJF...

Nawasalimu kwa imani yangu!

Nadhani halitakuwa jambo baya kama tukijikumbusha na kufahamishana juu ya wanaCCM waliowahi kukiri kumuunga mkono mwanaCCM mwenzao ndg Lowassa ambaye ni mgombea wa CHADEMA.

Mwapachu aliwahi kuzungumza na sasa amemfuata. Je, unadhani ndani ya jimbo lako au kata yako, kuna mgombea wa CCM ambaye atamfuata Lowassa?

Tujulishe na sisi tuwe wa kwanza kufahamu! Pengine aliwahi kukiri kumuunga mkono au kuonesha yuko TeamLowasa... Tufahamishane mapema. Au?

Naomba kuwasilisha...

Bado wapo wamejaa sana na hao waliobakia ndio hatari sana kuliko waliotangaza kuhama
 
Back
Top Bottom