Baada ya kifo cha Mandela. Je Graca Machel ata...?

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,874
4,277
1. Ataolewa na Rais Mwingine.
2. Atarudi msumbiji kuishi maisha ya ujane.
3. Ataendelea kuishi SA.
 
daah masikini huyu mama amekuwa mjane kwa mara ya pili.too sad
 
Wala msimsikitikie huyo mjane. Lilieni ndoa zenu zinazotimiza miaka 10,20,30,40 mpaka 50 lakini ndani ya nyumba ni miserable life!! Mwenyewe anasema miaka 15 aliyoishi na Madiba were most precious, peaceful n hapiness was in the air.. N she's goin 2 cherish n honor every minute they spent together
 
Ataendelea kuishi SA japo heshima yake kwa jamii itapungua...
 
1. Ataolewa na Rais Mwingine.
2. Atarudi msumbiji kuishi maisha ya ujane.
3. Ataendelea kuishi SA.

Kwani kuna Rais Mstaafu mwenye good personality ambaye kaachana na mkewe au kafiwa na mke hapa Afrika (Kusini mwa Sahara)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…