Mmejifunza nini kwenye mahusiano na hao wanawake zenu kupitia kisa cha samsoni na delila demu wake

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari.

Kupitia kisa cha samasoni na delila je nyie mmejifunza nini kuhusu hawa wanawake muwapo nao kwenye mahusiano.?

Mimi naona

1: KATAA NDOA , NDOA NI JEHANAMU YA MOTO KWA MWANAUME

2: MWANAMKE NI KIFO KWA MWANAUME

3: MWANAMKE SIYO MTU WA KUMUAMINI NA KUMWELEZA MAMBO YAKO

4: ISHI NA MWANAMKE KAMA UNAISHI NA NYOKA ALIYE MEZA KINYONGA
 
Ndoa inakuheshimisha ,Ndoa inakuletea baraka ,Ndoa itakufanya uwajibike,hakuna kilicho perfect hata ukiwa single Bado utaumizwa......Muhimu Tafuta kitunguu maji chako Kimoja....kiweke au uwekwe ndani hangaishana nacho mpaka kieleweke.....hakuna mahusiano perfect...usijidanganye
 
Back
Top Bottom