Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,991
Bila Shaka kama tu fiesta ilikua na figisu zileAnyway ni mawazo yako
Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa hii nchi huru kila mtu ana uwezo wa kutoa mawazo hata mbele ya werevu kama wewehaahaa yani unaandika usichokijua kabisa, ilimradi na wewe uonekane umekoment
Mi naona downfall ya clouds kwa kweli tena kubwa mnooo!!
Kusaga kashawekeza WCB kule kule CMG kuna nduguze tu naona inakufa kama Radio One!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuone maana kila msaniii ukimskiliza anakuambia ruge ndiyo aliniangushaTutegemee kupata mabilionare wasanii wengi sana maana kila msanii anaeulizwa mbona haufanyi vizuri anasema Marehem Ruge anamnyonya
Ilikuwa syo kibiashara....kulikuwa hakuna hela wasanii show zao walikuwa wana perform bure
Tutegemee kupata mabilionare wasanii wengi sana maana kila msanii anaeulizwa mbona haufanyi vizuri anasema Marehem Ruge anamnyonya
Hii point itaishi miaka yote na kuja kufanywa kama reference au case study kwenye mambo ya kibiashara na innovation.
Ukweli ni kwamba Hakuna Clouds bila Ruge ila anaweza kuwepo Ruge bila Clouds, hakukuwa na Radio yeyote yakuishinda Clouds na hata ingetokea siyo leo.
Chemistry ya Ruge na joe imeifikisha Clouds hapa ilipo lakini kwa kiasi kikubwa mtu anaefanya operational activities siyo sawa na yule ambae hagusi chochote ingawa ana umiliki wa asilimia kadhaa kwenye taasisi. Wahasibu tunajifunza kitu kinaitwa "Partnership" yaani unaingia ubia na mtu kufanya kitu na mwisho wa siku kinachopatikana mnagawana, lakini kati yenu kuna mmoja anaweza kuwa na technical skills ya kufanya hiyo biashara zaidi ya mwingine na kwa maana nyingine anakuwa muajiriwa wa hiyo partnership business yenu.
Hapa ndipo umuhimu wa Ruge unapoonekana, miaka zaidi ya 20 Clouds Radio imeendelea kuwa kinara na Super brand nchini hii ni kutokana na uwezo binafsi na ushiriki wake wa moja kwa moja wa marehemu kwani bila yeye isingefika hapa. Hakuna anaepinga Ruge alikuwa ni mtu wa tofauti sana linapokuja suala la Uongozi na ubunifu, muungano wake na Kusaga ni mfano wa mtu mwenye kifaa cha kugundua madini ardhini lakini hana dhana za kuweza kuchimba hayo madini, na hapa ndipo anapotokea mtu mwenye mashine ya kuchimba madini na hivyo kuingia ubia wenye maslahi maana mmoja ana kifaa kinachong'amua madini na mwingine ana vifaa vya kuchimba hayo madini mwisho wa siku wanapata walichokitaka na malengo yanatimia
Pamoja na uwepo wa hao wengine lakini kuna vitu wanakosa hawa wasaidizi wa Ruge ambavyo Ruge alikuwa navyo. Biashara yoyote inakuwa na Threats za ndani na Nje,Threats za ndani zinaweza dhibitiwa kwa urahisi kuliko za nje.Mfano mzuri ni Polical Threat( sijajua kiswahili fasaha ila ni kama mashambulizi ya kisiasa) hapa ndiyo utajua umuhimu wa Ruge.
Juzi tuu kukosekana kwa Ruge kumefanya Fiesta isifanyike masaa machache kabla ya Tamasha lenyewe ambalo maandalizi yake yalikamilika kwa 98% kilichobaki ni wasanii kupanda na tamasha kuanza lakini ilishidikana. Hii ni kwasababu hakuna wakuweza kukabiliana na changamoto za kisiasa ambazo Ruge aliweza kuzi handle. Mwaka juzi kulikuwa na tishio la kuizima Fiesta isizidi saa6 usiku lakini Ruge aliweza limudu vema na akatatua hilo
Tuweke uswahili pembeni tuje kwenye fair ground. ILi kampuni iweze kupiga hatua inahitaji mtu mwenye uwezo binafsi lakini mwenye maamuzi magumu na muda mwingine yenye kuumiza wengi ili kampuni isimame, ubishe usibishe huo ndiyo ukweli
Kikubwa ni kwamba pale clouds hapakuwa na "succession plan'' ya nani mwenye uwezo wa kukalia kiti baada ya Ruge na hapo ndipo tatizo linapoanza. Hata Joe hana uwezo kama Ruge, atakuwa ni boss as boss kwa ndani lakini hataweza kukabiliana na Extenal business Threats kama Ruge. Wakati Fiesta inazimwa Joe alikuwepo lakini hakuweza limudu hilo hapa ndo utajua utofauti wa Ruge na Joe
Baada ya Fiesta Kushindikana mara ya kwanza Utagundua kuna utofauti mkubwa wa Clouds ya zamani na ya sasa yaani Clouds ya sasa imepoa na inazidi kupoa siku hadi siku. Pengo la Ruge halizibiki na Hakuna atakaeweza liziba.
Clouds Radio itapoa sana lakini media nyingine haziwezi simama kama ilivyokuwa Clouds Radio otherwise zitakuwa sawa kwa maana ya clouds kuwa chini sawa na wao.
Uwezo wa Ruge ni mkubwa, amefanya mengi mazuri na kama binadamu mabaya pia haya kosekani. Huu ni msiba wa kitaifa kila mmoja kwaguswa kwa upande wake
Mbele yake, nyuma yetu. Apumzike kwa Amani mr. Rugemalila Mutahaba.
"Mwili ukikataa,Pesa haina nafasi"View attachment 1033057
Sent using Jamii Forums mobile app
wanajua sana wanajitoa ufahamu..we waache utaona hata hao kina shishi km watapaa tena kwenda usaAliongeza hamasa kubwa katika Bongo fleva.
True mkuu.Hii point itaishi miaka yote na kuja kufanywa kama reference au case study kwenye mambo ya kibiashara na innovation
Kuna mtu anaitwa Nabii Mswahili yuko vizuri sana kwenye movieTunaweza kuona kama jambo la kawaida ila ukifikilia sana jinsi Ruge alivyopigania tasnia ya mziki huu, na alivyotoa ushindani gemu ilichangamka sana
Swali fikilishi ndio hilo; Ruge kaenda na bongo fleva yake kama alivyoenda Kanumba maana baada ya kifo cha Kanumba ushindani ulipungua
Kupungua kwa ushindani ndio ikawa chanzo cha kushuka kwa bongo movie
R.I.P RUGE
Hyo sentesi ya chini imenikumbusha kifo cha dada yangu "mwili ulikataa pesa zote hazikufua dafu" Kifo hiki jamanii. Mungu tusaidie.
Ukweli ni kwamba Hakuna Clouds bila Ruge ila anaweza kuwepo Ruge bila Clouds, hakukuwa na Radio yeyote yakuishinda Clouds na hata ingetokea siyo leo.
Chemistry ya Ruge na joe imeifikisha Clouds hapa ilipo lakini kwa kiasi kikubwa mtu anaefanya operational activities siyo sawa na yule ambae hagusi chochote ingawa ana umiliki wa asilimia kadhaa kwenye taasisi. Wahasibu tunajifunza kitu kinaitwa "Partnership" yaani unaingia ubia na mtu kufanya kitu na mwisho wa siku kinachopatikana mnagawana, lakini kati yenu kuna mmoja anaweza kuwa na technical skills ya kufanya hiyo biashara zaidi ya mwingine na kwa maana nyingine anakuwa muajiriwa wa hiyo partnership business yenu.
Hapa ndipo umuhimu wa Ruge unapoonekana, miaka zaidi ya 20 Clouds Radio imeendelea kuwa kinara na Super brand nchini hii ni kutokana na uwezo binafsi na ushiriki wake wa moja kwa moja wa marehemu kwani bila yeye isingefika hapa. Hakuna anaepinga Ruge alikuwa ni mtu wa tofauti sana linapokuja suala la Uongozi na ubunifu, muungano wake na Kusaga ni mfano wa mtu mwenye kifaa cha kugundua madini ardhini lakini hana dhana za kuweza kuchimba hayo madini, na hapa ndipo anapotokea mtu mwenye mashine ya kuchimba madini na hivyo kuingia ubia wenye maslahi maana mmoja ana kifaa kinachong'amua madini na mwingine ana vifaa vya kuchimba hayo madini mwisho wa siku wanapata walichokitaka na malengo yanatimia
Pamoja na uwepo wa hao wengine lakini kuna vitu wanakosa hawa wasaidizi wa Ruge ambavyo Ruge alikuwa navyo. Biashara yoyote inakuwa na Threats za ndani na Nje,Threats za ndani zinaweza dhibitiwa kwa urahisi kuliko za nje.Mfano mzuri ni Polical Threat( sijajua kiswahili fasaha ila ni kama mashambulizi ya kisiasa) hapa ndiyo utajua umuhimu wa Ruge.
Juzi tuu kukosekana kwa Ruge kumefanya Fiesta isifanyike masaa machache kabla ya Tamasha lenyewe ambalo maandalizi yake yalikamilika kwa 98% kilichobaki ni wasanii kupanda na tamasha kuanza lakini ilishidikana. Hii ni kwasababu hakuna wakuweza kukabiliana na changamoto za kisiasa ambazo Ruge aliweza kuzi handle. Mwaka juzi kulikuwa na tishio la kuizima Fiesta isizidi saa6 usiku lakini Ruge aliweza limudu vema na akatatua hilo
Tuweke uswahili pembeni tuje kwenye fair ground. ILi kampuni iweze kupiga hatua inahitaji mtu mwenye uwezo binafsi lakini mwenye maamuzi magumu na muda mwingine yenye kuumiza wengi ili kampuni isimame, ubishe usibishe huo ndiyo ukweli
Kikubwa ni kwamba pale clouds hapakuwa na "succession plan'' ya nani mwenye uwezo wa kukalia kiti baada ya Ruge na hapo ndipo tatizo linapoanza. Hata Joe hana uwezo kama Ruge, atakuwa ni boss as boss kwa ndani lakini hataweza kukabiliana na Extenal business Threats kama Ruge. Wakati Fiesta inazimwa Joe alikuwepo lakini hakuweza limudu hilo hapa ndo utajua utofauti wa Ruge na Joe
Baada ya Fiesta Kushindikana mara ya kwanza Utagundua kuna utofauti mkubwa wa Clouds ya zamani na ya sasa yaani Clouds ya sasa imepoa na inazidi kupoa siku hadi siku. Pengo la Ruge halizibiki na Hakuna atakaeweza liziba.
Clouds Radio itapoa sana lakini media nyingine haziwezi simama kama ilivyokuwa Clouds Radio otherwise zitakuwa sawa kwa maana ya clouds kuwa chini sawa na wao.
Uwezo wa Ruge ni mkubwa, amefanya mengi mazuri na kama binadamu mabaya pia haya kosekani. Huu ni msiba wa kitaifa kila mmoja kwaguswa kwa upande wake
Mbele yake, nyuma yetu. Apumzike kwa Amani mr. Rugemalila Mutahaba.
"Mwili ukikataa,Pesa haina nafasi"View attachment 1033057
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu vyema uchanganuzi wa share holders wa CMG?Master mind has gone!!!kila mtu atapaingia pale kama kwake
Kwenye nyumba baba akiondoka kila mtu anawachokoa...!
Kusaga hawezi kua na uchungu na clouds kuliko kuliko Wasafi Media!!!!ambayo ana 45%
Sent using Jamii Forums mobile app