Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,930
Yaani picha yako imewekwa ukiwa unakula kitimoto utasema umedhalilishwaje sasa
Unachokizungumza tofauti na mimi nilichokisemaNilikuwa nakula kitimoto, akaja Mkereketwa wa hizi dini za maboti na kuhoji kwanini nakula kitimoto kwani mie si muislam? Nikakasirika na kumchapa vibao kadhaa kisha akaita watu kuwa anapigwa na mkristu. Walipokuja na kuuliza kulikoni mkristu anampiga muislam, nikawaambia mimi siamini hizo dini za kuletewa na maboti naamini mila na Imani yangu ya kitanzania, ndipo jamaa wakamgeuzia kibao yule ustadh.
Kama wapo sahihi wanachokifanya udhalilishaji unatoka wapi tena?Hiyo picha ni ya kudhalilisha masista wetu ambao wamekaa kistarabu halafu mtu anawaweka. Kwanini hakuweka watu wengine?
Swadakta.Kama hao masista kwenda kwao hapo bar na kunywa pombe ni kosa au hairuhusiwi kwa maadili ya kazi/dini yao basi wamejidhalilisha wao wenyewe na hakuna aliyewadhalilisha ila kama sio kosa kwao kukaa hapo na kunywa pombe basi sioni ubaya wowote wa hiyo picha.
Hakika mkuu.Hata angeliweka wengine ungesema hivyo hivyo kwa nini hakuweka wengine?
Sasa uhalisia ni awla kuliko uhisia
Amri ya ngapi inakataza pombe? Katika Ahadi zao kuna inayowakataza pombe? wewe donlucchese uliwakuta kwenye guest? Yawezekana hii ni dhifa iliyoandaliwa na kanisa au jimbo hata jumuiya. Wakatoliki siyo wa Islam au walokole.
Hakuna kudhalilisha hapo mkuu mi naona watu wanachamba koo kwani ni kosa?Hiyo picha ni ya kudhalilisha masista wetu ambao wamekaa kistarabu halafu mtu anawaweka. Kwanini hakuweka watu wengine?
Hahahaah eti kuchamba kooHakuna kudhalilisha hapo mkuu mi naona watu wanachamba koo kwani ni kosa?