Mfanyakazi kulipata ilikuwa ngumu kwa mkoa huo nyakati hizo.
pia tuliburudika na.....
kalamu kutoka london
Watu na matukio
Mashairi na
Chakubanga
Hadithi yako imeishia vzri
Hakuna mwanaume wa design hii labda kuna scene umezi "cut" [emoji13]Kila mtu na tafsiri yake kutokana na ubongo wake ulivyomuelekeza. Wengine hapa wamepata ubuyu wa kwenda kuuza. Wengine wamepata script za kwenda kutengenezea muvi na maigizo. Wengine wamepata burudani ya hadithi na kwenda wasimulia wengine. Kila mtu na tafsiri yake but to Kasie it's fact she has a new ride now, what a weekend.
Nipo kwenye position yakusema hivyo, ukizingatia hii ni DSM,TZKwakuwa wanaume wote duniani wako chini yako na unawafahamu mwanzo mwisho na tabia zao.
Kwa hiyo ndo itaishia hapo hapo au cku moja moja kutakuwa na marudioHahahahaaaa nimejaribu kupunguza ukali wa maneno ili watoto wasisikie mambo ya kikubwa. Ila weye mkubwa mwenzangu umenielewa basi ujue kuna jambo lilitokea na lilikuwa vizuri tuu na likaisha salama.
Kasie.
Kwa hiyo ndo itaishia hapo hapo au cku moja moja kutakuwa na marudio
Lol... I love you Kasie....I don't loose a chance as opportunities never come twice.
I act upon...
We nae tatizo lako unaficha ficha ovyo, we sema kama uliugawa ama la._! 😛 mbona wenzio huwa wanasema_!_?Weye nae hebu rudia kusoma neno moja moja maana kuna mengi yaliendelea baada ya chakula na kabla hajaondoka kwenda kwake.
Yalitokea mengi tuu.
Hongera ila angalia asikubebeshe ungaYou think...... but it's real and that means to you its a dream and imaginations but to Kasie it's real bin reality.