Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.
Kauli hizo ni;
Tanzanias president tells Egypts foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict
"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."
WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.
Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"
Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.
Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion
Egypt FM hails positive Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play
Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America
MY TAKE: I DONT THINK JKs MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?
Naona wengi wame ni misunderstand walicho chukia wa Ethiopia. Kilicho wauzi ni hiki; Wapo concerned with the fact that he (JK) stated the Nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river. Egypt never consulted the other basin countries when they built whatever they like. Musevini has recently warned Egypt to stop abusing black africans.
Hii post imeintend ku inform, note hate kama wengi wanavyo fikiria.
Angalizo: Wengi wanadhani mto Nile unamwaga maji yake Ethiopia; sio kweli, bali Blue Nile kutoka Ethiopia humwaga maji yake Nile.
