Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

MKuu JokaKuu , mimi sikubaliani na kauli ya JK kuhusu mto Nile.

Nakumbuka wa Egypt walikataa Tanzania isipeleke mradi wa maji Shinyanga ambao unge extend hadi maeneo mengine kwa kuhofia kupungua kina cha maji.

In rare cases ambazo namsifu Lowassa bila kusahahu hujuma alizozitendea taifa hili ni pale alipokuwa waziri wa maji.Lowassa alisimama kidete kuwakatalia wa Egypt kwa hilo.

Misri wakasema Gamal Abdiel Nasar aliwahi kusema uhai wa Misri upo mto Nile na yupo tayari kwenda vitani kwa hili akitishia kuishambulia Tanzania. Hata ilipokwenda katika ngazi ya kimataifa Egypt walishindwa.

Wamisri wakaahidi kuchimba visima ambavyo hawakurudi tena baada ya kuona issue imetulia.
Kujenga Urology ni mbinu zile zile za kumlisha ng'ombe mashudu ili ukamue maziwa.

Rais Kikwete atambue wenzetu wanatumia rasilimali wazlizo nazo kuendeleza nchi zao.
Ni jambo na ujinga wa hali ya juu kuagiza mchele kutoka Misri badala ya kutumia resource tulizo nazo kufanikisha miradi hiyo.

Ni jambo la kushangaza kwamba watu wa Shinyanga na Singida wafe wa kiu ya maji kwasababu ya kuwafikirika wamisri.

Ethiopia wanajenga mradi mkubwa kwa maendeleo ya nchi yao ili waondokane na handout.
Hilo lazima Kikwete alitambue na lisitumiwe kuidhalilisha nchi.

Hana sababu za ku rally watu wengine kama yeye hawezi ku deliver kwa resource zetu.
Kutokana na kufanya kila jambo kwa njia za kisiasa, Tembo na Twiga wanakwisha huku serikali ya JK ikijua wanapouzwa na nani anauza. Ameridhika rasilimali zimalizwe ili kufurahisha watu.

Watanzania lazima tusimame katika ukweli na huu ni ukweli kuwa handout anazotafuta Kikweta hazisaidii hata kidogo katika maendeleo yetu zaidi ya kutufanya tuonekane omba omba.

Ujenzi wa kituo cha Urology hauhitaji msaada wa Egypt.Posho za 30,000 kwa watu 600 kwa siku 90 zinataoka wapi kiasi cha kushindwa kujenga Unit ya Urology?

Juzi hazina bilioni 480 zimetoweka achilia mbali mizigo ya ufisadi na wizi kama hesabu za CAG zinavyoonyesha.Leo tunashindwa kusimamia hayo tunawalaumu wanaojipangia maendeleo yao.

Kauli ya JK haifai kwa kuangalia mambo mengi, ni kauli aliyoitoa kisiasa na si kiuchumi
Ni kauli ya kupendeza watu na kusahahu watu wake.

Sikubaliani na kauli zake na sijui hotuba zake ana zifanyia review na analysis au anaamka na kusoma tu.
I totally disagree kwa hili. JK is wrong
! Kikwete is wrong

Uko sahihi mkuu 100%
 
''Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme.''

Rudi darasani ndipo utakapojua kuwa huwezi kuitenga Tanzania unapozungumzia mto Nile........
 
Nani alikwambia Tanzania haina jurisdiction katika matumizi ya Mto Nile?!! Uwe unawaza kwanza sio ku-copy na ku-paste tu mnashusha hadhi ya JF
.....................................................................................................................................
Upon its independence, Tanzania formally invoked the Nyerere Doctrine32. In a
formal declaration to the Secretary-General of the United Nations, the Tanzanian
government accepted with stipulations all bilateral treaties, which were signed by UK had
signed on her behalf. Such treaties would remain in force on the basis of reciprocity for
two years from 1960 unless abrogated or modified earlier by mutual consent33. Tanzania
also issued identical notes to Britain, Egypt and Sudan outlining her policy on the
utilization of the Nile waters.
 
“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”..................

Tatizo ni kiingereza au?
Yaani Kikwete kutaka maridhiano kwa amani na mashirikiano kwako ni tatizo?! Embu tumia busara kidogo...
 
Mmmmmmh bila Shaka na wewe ni mawakala wa kagame......hakuna utata wowote, ni propaganda ovu dhidi ya Tanzania na rais wetu

Siyo kila mtu anayetofautiana na JK ni wakala wa Kagame, hivi tatizo la huu mradi wanaoufanya Waethiopia ni lipi? Hawa Wa Egypt tatizo lao ni ule mkataba wa Waingereza unaowaruhusu watumie 87% ya maji ya mto Nile. Lakini ikumbukwe kuwa ule mkataba wa Kampala unaziruhusu nchi 11 ambazo ni Nile Basin Countries kufanya miradi yao kwa kutumia maji ya mto Nile bila kufanya madadiliano na Serikali ya Cairo. Waacheni Waethiopia watekeleze mradi wao ambao ukikamilika utazalisha jumla ya Megawatts 6,000, na kuwafanya waondokane na tatizo la nishati ya umeme. Maji wanayotumia ni ya Blue Nile ambayo chanzo chake ni Ziwa Tana, sasa kwanini wasifanye project wakati chanzo cha maji wanacho.
 
..nadhani Egypt wanataka kututumia ktk huu mgogoro wa matumizi ya mto Nile.

..sasa hivi wametupa msaada wa ujenzi wa kitengo cha utafiti wa urology ktk hospitali ya Muhimbili.

..pia walitoa msaada wa kuchimba visima 30 vya maji ktk maeneo ya Shinyanga, na kuahidi kuchimba visima vingine 70.

..nadhani misaada hiyo ndiyo inawalainisha viongozi wetu na kuanza kutoa kauli wanazozitoa.

cc Jasusi, Kiranga, Nguruvi3, Geza Ulole

Inawezekana mana diplomasia ni game la strategies na kutafuta washirika wa kukuungaq mkono. Ethiopia inakua kwa speed nzuri hivyo power generation is of priority to them. But that dam could generate lot of megawatts sijui watamuuzia nani. Au ndio industrialization stage in Ethiopia?

By the way JokaKuu, how is Ethiopia now after Zenawi's departure?
 
Last edited by a moderator:
''Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme.''

Rudi darasani ndipo utakapojua kuwa huwezi kuitenga Tanzania unapozungumzia mto Nile........

Inaongelewa Blue Nile ambayo source yake ni Ethiopia. Sio White Nile.
 
“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”..................

Tatizo ni kiingereza au?
Yaani Kikwete kutaka maridhiano kwa amani na mashirikiano kwako ni tatizo?! Embu tumia busara kidogo...

Hata mie bado nashangaa ! maana nimesoma kiingereza cha JK bado sijaona hiyo shida !
Wakati Luwasa /Mkapa wanajianda kujenga bomba la maji kuelekea Shinyanga, Luwasa alipiga trip kadhaa Misri kwenda kuwashawishi na hata Wamisri walitoa ushauri mbadala. Lakini mwisho wa siku bomba lilijengwa na hakuna aliyeppigwa wala kutishwa.
 
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

Naona wengi wame ni misunderstand walicho chukia wa Ethiopia. Kilicho wauzi ni hiki; Wapo concerned with the fact that he (JK) stated the Nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river. Egypt never consulted the other basin countries when they built whatever they like. Musevini has recently warned Egypt to stop abusing black africans.

Hii post imeintend ku inform, note hate kama wengi wanavyo fikiria.

Angalizo: Wengi wanadhani mto Nile unamwaga maji yake Ethiopia; sio kweli, bali Blue Nile kutoka Ethiopia humwaga maji yake Nile.

View attachment 141763

Sasa hapo kalikorogaje?
 
Siyo kila mtu anayetofautiana na JK ni wakala wa Kagame, hivi tatizo la huu mradi wanaoufanya Waethiopia ni lipi? Hawa Wa Egypt tatizo lao ni ule mkataba wa Waingereza unaowaruhusu watumie 87% ya maji ya mto Nile. Lakini ikumbukwe kuwa ule mkataba wa Kampala unaziruhusu nchi 11 ambazo ni Nile Basin Countries kufanya miradi yao kwa kutumia maji ya mto Nile bila kufanya madadiliano na Serikali ya Cairo. Waacheni Waethiopia watekeleze mradi wao ambao ukikamilika utazalisha jumla ya Megawatts 6,000, na kuwafanya waondokane na tatizo la nishati ya umeme. Maji wanayotumia ni ya Blue Nile ambayo chanzo chake ni Ziwa Tana, sasa kwanini wasifanye project wakati chanzo cha maji wanacho.

Inaongelewa Blue Nile ambayo source yake ni Ethiopia. Sio White Nile.

Sawa kabisa unaongelea Blue Nile lakini mleta uzi huu mequote kauli ya JK ambayo inaongelea Nile River in general white and blue inclusive na akaenda mbali kusema JK hana jurisdiction kwenye Nile river matters..ndio maana hatumuelewi hati..
Na kuweka record clear JK anasema ushirikiano ni kwa wato wanafaidika na mto Nile blue au White ajaenda specific kwenye blue Nile project..
Narudia tena mleta Uzi analengo la kuleta ***** ***** tu
 
tz tumezidi upole ethiopia wanahaki gani kutumia mto nile kwa mbwembwe na kauli mbovu wakati wenye source ya mto hatufaidi tutafunga chanzo ------- zao tuone hilo bwawa lao la umeme maji litatoa wapi
 
tz tumezidi upole ethiopia wanahaki gani kutumia mto nile kwa mbwembwe na kauli mbovu wakati wenye source ya mto hatufaidi tutafunga chanzo ------- zao tuone hilo bwawa lao la umeme maji litatoa wapi

Ulichokiandika unakijua kweli? Ukifunga maji ya lake Victoria itahathirije mradi wao?
 
Kikwete hajaanzisha yeye kuwa merchant of hope, peace and tranquility. The ethos is deeply entrenched in Tanzanian foreign policy since Nyerere, was passed on and practiced during the Mwinyi and Mkapa administrations. There is a reason, just to pick one example, The International Criminal Tribunal for Rwanda is in Tanzania.
hahahahaaa....

Mauji ya Rwanda na Mahakama yake yameanza 1994-1995, Nyerere na Mwinyi hawawezi kuwa na chimbuko la uenezi wa maadili ya amani eti kwa vile Mahakama ya Jinai za Rwanda iko Tanzania, Mwinyi na Nyerere walikuwa wameshaondoka! Usitake kuunga unga vi historical perspective ambavyo havipo.

Kutetea amani regionally ni kutetea maslahi ya Tanzania
Maslahi yanayoongelewa hapa ni chanzo cha maji. Nimekosoa dhana kwamba Tanzania tumewaachia maji kwa kuwaonea huruma. Tanzania kuna ma SIM tank ya maji mpaka nyumbani kwa Rais, hakuna running water, na wasiomudu kununua ma boza ya maji watoto wao wanapata mimba za mabombani na vichakani kwenye vyanzo vya maji, nchi imefubaa inageuka jangwa kwa ukame, wenzetu wanatetea maslahi hayo ya maji. Hatuongelea maslahi ya kuepuka wakimbizi hapa, usipende kuunga unga vi point ambavyo havihusiki.

JK hajatetea amani, bali ame side na Wa Egypt. Msuluhishi hatakiwi kukutana na upande mmoja halafu anatoa comment zinaunga zinazounga mkono upande mmoja. Diplomasia za Kikwete siku zote zinalipuka kwa sababu ya kitu kile kile, hana uti wa mgongo ya kusema kitu mbele ya wahusika. Kwenye kesi ya Nyani na Ngedere anakutana na Ngedere anatoa tamko Nyani ajaribu kuelewana na Ngedere.

Halafu Kikwete hajawahi kuwa mtetezi wa amani kutoka moyoni. Utasemaje unatetea amani za majirani wakati nyumbani kwako umewasihi wafuasi wako kwamba wasikubali kuwa wanyonge wanapokutana na wagomvi?

H.I.M Haile Selassie's 1936, Geneva Switzerland "Appeal To The League of Nations www...

H.I.M Haile Selassie's 1963, New York, NY, U.N "Address To The United Nations" www...
Ukitaka kuwa mweledi anaetumia references na viambatanisho basi fuata kanuni zake. Huwezi kuwa na references mbili za kusukuma hoja yako halafu zote ni za chanzo kile kile, Haile Selassie I, of all the authorities, dikteta liliotawala miaka mia nne linatoa speech za kum lambast dictator mwenzie Mussolini. Sophisticate your searches a bit, I mean, damn, Musolini na Haile Selasi Ai ...?!
 
hahahahaaa....

Mauji ya Rwanda na Mahakama yake yameanza 1994-1995, Nyerere na Mwinyi hawawezi kuwa na chimbuko la uenezi wa maadili ya amani eti kwa vile Mahakama ya Jinai za Rwanda iko Tanzania, Mwinyi na Nyerere walikuwa wameshaondoka! Usitake kuunga unga vi historical perspective ambavyo havipo.

Ungekuwa na point kama ungesema Mahakama ya genocide ya Rwanda hapo Arusha ilianzishwa kabla ya Nyerere na Mwinyi kuwa madarakani, siyo baada.

Simple timeline tu imekushinda.

Kama mahakama ya genocide ya Rwanda hapo Arusha imeanza baada ya uongozi wa Nyerere na Mwinyi kuanza, maana yake ni kwamba uongozi wa Nyerere na Mwinyi umechangia kuifanya mahakama iwepo.

You probably don't even know - or couldn't connect in perspective, if you know- the history of the Rwanda genocide, that Habyarimana was killed while he was coming from a peace summit hosted by president Mwinyi in Dar. In line with the same Tanzanian foreign policy of "peaceful coexistence" I am talking about. Mwinyi practiced it, Nyerere before him did too, Mkapa did it and now Kikwete is continuing the same policy. This is the default Tanzanian foreign policy. Read your histoy, don't just accuse me of "ku unga unga vi historical perspective" wakati hata kusoma timeline hujui.

Soma Wiki ya "Assasination of Juvenal Habyarimana and Cyprien Ntaryamira" hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Assassination_of_Juvénal_Habyarimana_and_Cyprien_Ntaryamira

Excerpts

Habyarimana was finishing regional travel. On April 4, he had flown to Zaire to meet with president Mobutu Sese Seko and on the sixth flew to Dar es Salaam, Tanzania for a one-day regional summit for heads of state convened by Tanzania's President.[SUP][8][/SUP] On the return trip that evening he was joined by Burundian president Cyprien Ntaryamira, and a couple of his ministers, who preferred the faster Dassault Falcon 50 that the French government had given to Habyarimana over Ntaryamira's own presidential plane.[SUP][9][/SUP]
According to interim Prime Minister Jean Kambanda's testimony to the ICTR, President Mobutu Sese Seko of neighboring Zaire (now DRC) had warned Habyarimana not to go to Dar es Salaam on April 6. Mobutu reportedly said this warning had come from a very senior official in the Elysée Palace in Paris. There was a link between this warning, said Mobutu, and the subsequent suicide in the Elysée of François de Grossouvre, a senior high-ranking official working for President François Mitterrand, an official who had killed himself on April 7 after learning about the downing of the Falcon.[SUP][10][/SUP]
Description of attack[edit]

The presidential jet was a Dassault Falcon 50.​

Shortly before 8:20 pm local time (6:20 pm UTC), the presidential jet circled once around Kigali International Airport before coming in for final approach in clear skies.[SUP][11][/SUP] A weekly flight by a Belgian C-130 Herculescarrying UNAMIR troops returning from leave had been scheduled to land before the presidential jet, but was waved off to give the president priority.[SUP][12][/SUP]
A surface-to-air missile struck one of the wings of the Dassault Falcon, before a second missile hit its tail. The plane erupted into flames in mid-air before crashing into the garden of the presidential palace, exploding on impact.[SUP][11][/SUP] The plane carried three French crew and nine passengers.[SUP][13][/SUP]

Maslahi yanayoongelewa hapa ni chanzo cha maji. Nimekosoa dhana kwamba Tanzania tumewaachia maji kwa kuwaonea huruma. Tanzania kuna ma SIM tank ya maji mpaka nyumbani kwa Rais, hakuna running water, na wasiomudu kununua ma boza ya maji watoto wao wanapata mimba za mabombani na vichakani kwenye vyanzo vya maji, nchi imefubaa inageuka jangwa kwa ukame, wenzetu wanatetea maslahi hayo ya maji. Hatuongelea maslahi ya kuepuka wakimbizi hapa, usipende kuunga unga vi point ambavyo havihusiki.

Ndiyo maana nimekwambia unaangalia maslahi katika mtazamo finyu.

Wewe unaangalia maji, wenzako wanaona vita, wakimbizi, ujangili, ongezeko la silaha na general instability. Kikwete ana wajibu wa kuzuia habari za vita as much as he can, na hayo ni maslahi ya Tanzania.

Wewe ukifikiria maslahi ya Tanzania with your one track mind unafikiria ma sim tank na running water tu!

Na hata huo mtazamo finyu wenyewe huna information, hujui Kikwete ameji align vipi na Wamisri hapo. Kuna mdau kaongelea kuwa kuna habari za maslahi ya Watanzania kupitia misaada ya Wamisri zimepata makubaliano hapo.

Misaada inayohusisha miradi ya kuchimba visima vijijini.

Wewe hujui umekurupuka tu Kikwete hatetei maslahi ya Tanzania!

JK hajatetea amani, bali ame side na Wa Egypt. Msuluhishi hatakiwi kukutana na upande mmoja halafu anatoa comment zinaunga zinazounga mkono upande mmoja. Diplomasia za Kikwete siku zote zinalipuka kwa sababu ya kitu kile kile, hana uti wa mgongo ya kusema kitu mbele ya wahusika. Kwenye kesi ya Nyani na Ngedere anakutana na Ngedere anatoa tamko Nyani ajaribu kuelewana na Ngedere.

Sielewi ni jinsi gani kutaka suluhu na mazungumzo ni kutetea upande mmoja. Kikwete ana damu ya kunguni, at this point hata akiamua kurudishia fedha za kodi kwa kiasi fulani wananchi wake anaweza kulaumiwa. First of all unamvika role ambayo si yake, yeye kaja kutembelewa tu, si appointed msuluhishi, kasema kitu ambacho ni "default toe line" ya foreign policy ya Tanzania tangu enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa. Kwenye migogoro kitu cha kwanza ni kutaka mazungumzo na suluhu, what's wrong with that?

Ulitaka ajifungie Ikulu na kuogopa wageni kisa Ethiopia wana mgogoro na Egypt?

Halafu Kikwete hajawahi kuwa mtetezi wa amani kutoka moyoni. Utasemaje unatetea amani za majirani wakati nyumbani kwako umewasihi wafuasi wako kwamba wasikubali kuwa wanyonge wanapokutana na wagomvi?

Unaangalia habari hii kama ya Kikwete wakati it is larger than Kikwete. Kikwete anatekeleza tu the default Tanzanian foreign policy, hajayatoa kichwani mwake tu.

Tatizo kama kawaida, badala ya kuangalia the big picture policy, tunaanza kumuangalia mtu mmoja, Kikwete.

Habari za moyoni waachie makasisi. Politics is a practical game. Kikwete is not beyond criticism. Lakini kauli yake hii ni mtu asiyependa suluhu tu ndiye anayeweza kuibeza.

Mimi siwezi hata kumpinga Kikwete hapa, kwa sababu this is not a Kikwete issue, it is a Tanzania foreign policy issue. Kama unapinga Tanzania kutaka suluhu, pinga Tanzania's foreign policy, usimshambulie Kikwete kwa sababu anatekeleza foeign policy ya Tanzania kama marais wote wa Tanzania.

Ukitaka kuwa mweledi anaetumia references na viambatanisho basi fuata kanuni zake. Huwezi kuwa na references mbili za kusukuma hoja yako halafu zote ni za chanzo kile kile, Haile Selassie I, of all the authorities, dikteta liliotawala miaka mia nne linatoa speech za kum lambast dictator mwenzie Mussolini. Sophisticate your searches a bit, I mean, damn, Musolini na Haile Selasi Ai ...?!

Haile Selassie ana represent historia ya miaka elfu tatu ya utamaduni wa Ethiopia. Badala ya kuangalia the bigger picture policy issues raised hapo, kwamba hata waEthiopia washawahi ku appeal at the UN for the rule of international morality and peaceful coexistence, unaenda kupiga "ad hominem" attacks on the person.

Hapo ndipo tunapokosea mara nyingi sana, African politics revolve around personalities, not policies. Ndiyo maana mtu akitoa point ya policy kutoka kwa Selassie, anajibiwa kwa kuambiwa Selassie hafai, mtu akisema Kikwete kutaka suluhu si kitu alichokitoa kichwani bali ndiyo foreign policy ya Tanzania, anajibiwa kwamba Kiwete si mpenda amani.

Kama Selassie alikuwa dikteta, ujumbe wake ndio unakuwa na maana zaidi, kwamba hata dikteta alifahamu umuhimu wa "the rule of international morality" at least in principle.

Kanuni inayokataza kuambatanisha maandiko mawili ya muandishi mmoja sijaifahamu bado, mimi si msomi, lakini nasoma sana, labda sijafuata kanuni, lakini katika kusoma kwangu nasoma mpaka references kwenye footnotes, na nimekutana sana sana na neno "ibid."

Sijui unafahamu maana yake na kama unafahamu unaweza kulielezeaje dhidi ya kanuni yako ya kutotoa references mbili kutoka kwa mtu mmoja?
 
Hv ww kweli ni mtanzania mzalendo mpenda aman??? Au umetumwa, maan kazi yako ni kufikiria ufitinishi na uchanganishi siku zote, kama huna jambo la msingi la kujadili kuhusu maendeleo ya nchi yetu sio lazima uandike'
 
Inawezekana mana diplomasia ni game la strategies na kutafuta washirika wa kukuungaq mkono. Ethiopia inakua kwa speed nzuri hivyo power generation is of priority to them. But that dam could generate lot of megawatts sijui watamuuzia nani. Au ndio industrialization stage in Ethiopia?

By the way JokaKuu, how is Ethiopia now after Zenawi's departure?

..Ethiopia wana matatizo kama ya Tanzania.

..hali za maisha ya waliowengi Ethiopia hazionekani kuboreka kwa kiwango kilekile ambacho tunaambiwa uchumi wao unakua.

..Ethiopia wamejipanga kuwa manufacturing hub ya Afrika. wanategemea kwamba wazalishaji/wenye viwanda watahamia kwao baada ya wages na gharama nyingine kupanda China na maeneo mengine ya Asia.

..huyu jamaa mpya anatekeleza agenda zilezile za Meles Zenawi.
 
Wamisri wanasema wanahitaji maji kwasababu nchji zingine zina vyanzo vya maji zaidi ya Nile. Kwamba maji yatiririke kwenda Misri wananchi wa Shinyanga/Mara na Mwanza wafe njaa kwasababu tu irrigation haiwezekani. Kwamba wa misri ni bora zaidi ya watu wetu.
Pili, Misri ina mafuta kwanini wasiseme nchi zingine hazina vyanzo hivyo na hivyo zitumie maji?

Ethiopia nawaunga mkono, wanajenga dam kubwa kuepuka umeme wa mgao na ufisadi wa kutengeneza mgao kwa kutumia vina vya maji.
Wanafahamu kuwa energy ni kitu muhimu sana katika kuvutia wawekezaji na mitaji.

JK yupo madarakani miaka 9 sasa tatizo la umeme lipo na linakuwa. Hujuma za kutengeneza migao feki zipo na anazijua. Jk hana ufumbuzi wa tatizo leo anawanyooshea vidole wanaojiletea maendeleo.
Yeye amefeli kabisa katika suala la energy aache Waetheiopia waendeleze nchi yao.

JK aendeleee kutalii duniani na kudandia mabembea na aache wenye mission na vision na nchi zao wafantye vitu vyao. Failure zrtu zisiwe failure za wengine!

Tanzania tunalipa umeme ghali sana kuliko mtu wa Europe, eti JK anakwenda kusifia jinsi tunavyokuwa masikni kwa uzembe wa matumizi ya rasilimali zetu.
I have to be honest, JK hana vision na nchi hii ni mtu wa kusema tu kila kinachokuja kinywani.
He is wrong, na ni tatizo lka kitaifa kwakweli. Siyo lazima aongee ana nafasi ya kukaa kimya!

Anatudhalilisha sana

Now I am hardly a Kikwete fan. And although still Tanzanian, like Einstein, I subscribe to the idea that nationalism can be an infantile disease.That should help with my independence in observation.

But what do they want the man to say to the Egyptian minister?

That the dam must be a source of conflict and not cooperation between the Nile basin countries?

That the basin should be constructed without regard to mutual agreement?

Will the Ethiopians be cool if the Ugandans were about to construct a water flow altering damn without seeking mutual understanding?

Ridiculous.

I mean Kikwete is not above being overly callous in his diplomatic niceties (trying to be nice to everybody is an illusion), but there is a point past which criticism is nothing short of medieval militancy.

Wakuu
Huyo ni kibaraka wa Paul Kagame anajaribu kutuchota akili zetu ni vyema tuwe waangalifu katika baadhi ya mada zinazoletwa humu jamvini.
 
Wakuu
Huyo ni kibaraka wa Paul Kagame anajaribu kutuchota akili zetu ni vyema tuwe waangalifu katika baadhi ya mada zinazoletwa humu jamvini.

"Huyo" unamaanisha nani?

Clarity please.
 
Back
Top Bottom