grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Daaahhh...huyo aliyemnunua binti kigori kama huyo hajamtumia kweli! Eeee Mungu wafunge Gavana kuwatia upofu hao maharamia na wanunuzi wao wote....Ameninasemwa baadhi wameshauzwa huko chad,niger etc kwa dolali 12 each..itabidi sasa makomando wa marekani wapite nyumba hadi nyumba ili kuwapata hao vigori.