Baada ya hapa ni kichapo tu kwa boko haram

Baada ya hapa ni kichapo tu kwa boko haram

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
10168191_673403436064656_8005497604504494248_n.png

10314649_673403429397990_4929863208488003092_n.png

1957998_673403449397988_408817029988548848_n.png

10267764_673403442731322_16327325116187543_n.png
 
Wanahitaji kutumia hata njia za kidiplomasia kuwaokoa hao wasichana....
swali ninalotaka kujiuliza ni kuwa makao makuu ya boko halam hayajulikani yalipo kweli?? au serikali imewaogopa??
 
Wanahitaji kutumia hata njia za kidiplomasia kuwaokoa hao wasichana....
swali ninalotaka kujiuliza ni kuwa makao makuu ya boko halam hayajulikani yalipo kweli?? au serikali imewaogopa??
Kuna uwezekano mkubwa wanapata support kubwa toka kwa baadhi ya government officials
 
...mmh ugo gududu haguwezi kuviacha,kwanza sijui hatakama vipo hai...
 
Alah anawahitaji
cc. Ritz mdini
 
Last edited by a moderator:
Nina mashaka kama hawajawatafuna, maana mijitu yenyewe kutwa kucha vichakani inatafuta demu/mke wakuoa saa ngapi.
Hapo usijekuta ilipatwa na histeria ya kiume ikaamua kuteka kundi lote hilo ili ijipozee ugwadu, kama wangekuwa wanahitaji pesa nadhani wangeshasema toka awali...
 
Tobaaa si itawatoa sugu watoto wa wenyewe!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hili kundi nalichukia mno,washenzi kabisa wale wao wanafikiri wanaeneza uislam kumbe hamna lolote bora hata mateja wa dar kuliko washenzi wale
 
Inside job lazima itakuwa inahusika nigeria
 
ogopa sana chozi la mwanamke hasa pale anapo shawishi kutekelezwa kwa analolihitaji....kitakacho fata hapo....mie simo.
 
Mkuu wahenga wamenena wanamtafuta mchawi aliowaroga kumbe ni wao kwa wao hii ni kutuzuga tena hawa jamaa wa boko kila kitu wanapata na siri zote wazipata na ndio maana kila kukicha wanafanya kila watakalo tena hawa boko ni kikundi kadogo tu lakini vigogo wamo ndani ya serikali hakuna juhudi kubwa ya kusabaratisha hawa majambazi ya kidini lakini laiti pangekuwa na jaribio la mapinduzi ya kijeshi basi zamani wangekuwa wa shakamatwa tena wote yaana kungekuwa na msako mkali sana lakini wanena kikulacho maungoni mwako
 
Western Countries walipingwa na walitekwa sana walipokuwa wanajichotea mafuta bila kipimo huko Nigeria, mmesahau?

Gear ya kuingilia Nigeria tena kwa nguvu sana wameipata toka Jonathan aliposhika madaraka.

Boko Haram ni sababu tu, na hilo kundi linatumika ki propaganda tu. Lilikuwepo kabla, litakuwepo, nnachosikitikia na ujuha wetu Waafrika kutokujielewa.

"You're either with us or against us" - George Bush Jr.

Hapo sasa. Yetu macho.
 
Hii kitu inasikitisha sana jamani... Yaani hapo haijulikani hao watoto wanafanywa nini na wanalishwa nini. Kama mzazi unaweza pata kichaa. EE MUNGU WAREHEMU viumbe wako...
 
waislam mko wapi mbona kimya ivi ndio uislam unavyotaka sasa mzungu akiingia nigeria ni udini
 
Nina mashaka kama hawajawatafuna, maana mijitu yenyewe kutwa kucha vichakani inatafuta demu/mke wakuoa saa ngapi.
Hapo usijekuta ilipatwa na histeria ya kiume ikaamua kuteka kundi lote hilo ili ijipozee ugwadu, kama wangekuwa wanahitaji pesa nadhani wangeshasema toka awali...
inasemwa baadhi wameshauzwa huko chad,niger etc kwa dolali 12 each..itabidi sasa makomando wa marekani wapite nyumba hadi nyumba ili kuwapata hao vigori.
 
Back
Top Bottom