Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima.
Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni mwana CHADEMA, pia ni mmoja ya wa Tanzania tunao wish CCM ife hata hii leo
Nimewiwa kuja na uzi huu baada ya kuona Raisi wa Club ya Yanga Eng Hersi kuchukua form ya kutaka kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya CCM.
Ni wazi kuwa Club ya Yanga inaundwa na wanachama ambao pia ni wanachama / wakereketwa / wanazi wa vyama vya Siasa ikiwemo CHADEMA.
Sote tunaona na tunajua namna Serikali ya CCM inavyotufanyia hujuma nyingi sana CHADEMA, Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa kwa takribani mizei mitatu yupo Gerezani kwa uonevu kabisa, tumeona namna Mahakama kupitia Majaji ma kada wa Chama Chakavu walivyozuia shughuli za chama kwa uonevu kabisa.
Kitendo cha Eng Hersi kuingia kwenye Siasa, Hususan ni za Chama kinachotuumiza, maana yake yeye ni sehemu ya watesi wetu ama ameamua kujiunga na watesi wetu.
Ni wazi kuwa, kuendelea kui support Yanga kwa hali na mali / michango n.k ni kuendelea kuifanya CCM iendelee kuneemeka.
Nitumie Fursa hii kuwataka wapenzi wa Yanga na wananchi wote kwa ujumla kuacha mara moja kui support Yanga Mpaka pale Hersi atakapoondoka Madarakani.
Kuendelea kui support Club ni kuendelea kuwapa Support watu ambao kwa upande mwingine ni watesi wetu.
Natanguliza shukrani