labdaRushwa inahusika...???
hii kali ya kufungia mwakaWateule wa awamu hii ni majanga hivi kweli Mahakama ikitoa uamuzi mkuu wa wilaya anauwezo wa kuagiza kesi isikilizwe upya?
Huyu RC wa Arusha anafanya zaidi ya ujinga au ndo kazi aliyomtuma Magufuli kuzuia maendeleo kisa tu kuwa Arusha inaogozwa na upinzani. Jamani hizi siasa za kipuuzi zikomeshwe kwa mstakabali wa taifa leo .Nategemea kuona RC wa Arusha akitumbuliwa kesho.
Nianze kwa kupongeza ujenzi wa nidhamu,umakini na heshima katika utumishi wa umma kwa njia ya utumbuaji majipu. Anayekwenda mrama,anatumbuliwa. Safi sana!
DED wa Mkinga kule Tanga ametumbuliwa kwa kutishia kwa bastola. Ametumbuliwa kwakuwa amekwenda kinyume na wajibu wake. Ametumbuliwa kwakuwa amevuka mipaka ya kazi yake na hata kumponza. Amekwenda na maji!
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Ndugu Salum Ally Hapi naye ameenda mrama. Amemuagiza Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni lililo chini ya Mhe. Yose Mlyambina kusikiliza upya shauri lililokwishaamriwa.
Kwa mujibu wa nyaraka niliyoiona (barua ya tarehe 12/10/2016),Mkuu huyo wa Wilaya ameagiza kesi ya
Bwana Venance isikilizwe upya kwakuwa tu bwana Venance hakuridhika. Akijua taratibu za kisheria,kwakuwa naye ni Mwanasheria,DC Hapi anajua kuwa hana mamlaka ya kuamuru hivyo.
DC Hapi anajua kuwa asiyeridhika na uamuzi wa Baraza anapaswa kukata rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania,Kitengo cha Ardhi. Anajua kuwa yeye kama DC si mamlaka kimahakama. Anajua kuwa amri yake kwa Mlyambina ni batili. DC Hapi amekwenda kombo,atumbuliwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Tafiti zaonyesha kila wa tz wanne watatu vichaa hivyo sishangaiNianze kwa kupongeza ujenzi wa nidhamu,umakini na heshima katika utumishi wa umma kwa njia ya utumbuaji majipu. Anayekwenda mrama,anatumbuliwa. Safi sana!
DED wa Mkinga kule Tanga ametumbuliwa kwa kutishia kwa bastola. Ametumbuliwa kwakuwa amekwenda kinyume na wajibu wake. Ametumbuliwa kwakuwa amevuka mipaka ya kazi yake na hata kumponza. Amekwenda na maji!
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Ndugu Salum Ally Hapi naye ameenda mrama. Amemuagiza Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni lililo chini ya Mhe. Yose Mlyambina kusikiliza upya shauri lililokwishaamriwa.
Kwa mujibu wa nyaraka niliyoiona (barua ya tarehe 12/10/2016),Mkuu huyo wa Wilaya ameagiza kesi ya
Bwana Venance isikilizwe upya kwakuwa tu bwana Venance hakuridhika. Akijua taratibu za kisheria,kwakuwa naye ni Mwanasheria,DC Hapi anajua kuwa hana mamlaka ya kuamuru hivyo.
DC Hapi anajua kuwa asiyeridhika na uamuzi wa Baraza anapaswa kukata rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania,Kitengo cha Ardhi. Anajua kuwa yeye kama DC si mamlaka kimahakama. Anajua kuwa amri yake kwa Mlyambina ni batili. DC Hapi amekwenda kombo,atumbuliwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
lema kiboko aisee,kamwaga mboga na ugaliHuyu RC wa Arusha anafanya zaidi ya ujinga au ndo kazi aliyomtuma Magufuli kuzuia maendeleo kisa tu kuwa Arusha inaogozwa na upinzani. Jamani hizi siasa za kipuuzi zikomeshwe kwa mstakabali wa taifa leo .
Dodo kwenye muarobain...unapoteza muda
mkuu,lakini kama kweli ameingilia uhuru wa mahakama hayo si majungu.Wote wanaotumbuliwa wanatumbuliwa kwa haki. Huyo Hapi hawezi kutumbuliwa kwa majungu ya PM
ni kweli,atumbuke tu kabla ya kutumbuliwamkuu,lakini kama kweli ameingilia uhuru wa mahakama hayo si majungu.
TEMBO (wa butiku) kalitia majiKisa cha mgema
PM Majaliwa anapiga majungu kwa DC Hapi?Wote wanaotumbuliwa wanatumbuliwa kwa haki. Huyo Hapi hawezi kutumbuliwa kwa majungu ya PM
Mshahara wa DC haufiki milioni nne labda kama amenunua Harrier kwa mkopo wa NMB. Endeleeni kumsaidia Mh Raisi kuwajua wapiga dili hawaHalafu juzi nilimuona kanunua Harrier,sijui mshahara wake unaruhusu?kama sio na hii nayo iongezwe kwenye barua yake ya utenguzi
Separation of powers is just for checks and balances, no big dealDuh...where is separation of power???