VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
unapoteza mudaNategemea kuona RC wa Arusha akitumbuliwa kesho.
Au sijaelewa vizuri: kwamba DC Hapi ni mwanasheria lakini ameingilia uhuru wa muhimili wa mahakama!! Kama ni kweli ina maana hajui kwamba tribunal ni sehemu ya mahakama ambayo ina utaratibu wake wa kufanya kazi? Hakusoma Administrative Law na pia hakusoma kuhusu jurisdictions za mamlaka mbalimbali za kimahakama? Kama ni kweli basi chuo alichosomea kinatakiwa ku recall cheti chake kwa kuwa hakuelewa masomo mengi.Nianze kwa kupongeza ujenzi wa nidhamu,umakini na heshima katika utumishi wa umma kwa njia ya utumbuaji majipu. Anayekwenda mrama,anatumbuliwa. Safi sana!
DED wa Mkinga kule Tanga ametumbuliwa kwa kutishia kwa bastola. Ametumbuliwa kwakuwa amekwenda kinyume na wajibu wake. Ametumbuliwa kwakuwa amevuka mipaka ya kazi yake na hata kumponza. Amekwenda na maji!
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Ndugu Salum Ally Hapi naye ameenda mrama. Amemuagiza Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni lililo chini ya Mhe. Yose Mlyambina kusikiliza upya shauri lililokwishaamriwa.
Kwa mujibu wa nyaraka niliyoiona (barua ya tarehe 12/10/2016),Mkuu huyo wa Wilaya ameagiza kesi ya
Bwana Venance isikilizwe upya kwakuwa tu bwana Venance hakuridhika. Akijua taratibu za kisheria,kwakuwa naye ni Mwanasheria,DC Hapi anajua kuwa hana mamlaka ya kuamuru hivyo.
DC Hapi anajua kuwa asiyeridhika na uamuzi wa Baraza anapaswa kukata rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania,Kitengo cha Ardhi. Anajua kuwa yeye kama DC si mamlaka kimahakama. Anajua kuwa amri yake kwa Mlyambina ni batili. DC Hapi amekwenda kombo,atumbuliwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Ha haaaa kwani nani hajui kuwa maDC wa Magufuli na hata ma RC wanaishi kwa dili kama hizi za kulazimisha dhuluma ili wapate rupia. Mimi nasema Magufuli hakukesha kama anavyotuaminisha kuwapata hawa watu kwani wengi wao ni wasanii na wala rushwa kuliko wale waliotangulia. Wana kiu ya ajabu ya mali.
Nianze kwa kupongeza ujenzi wa nidhamu,umakini na heshima katika utumishi wa umma kwa njia ya utumbuaji majipu. Anayekwenda mrama,anatumbuliwa. Safi sana!
DED wa Mkinga kule Tanga ametumbuliwa kwa kutishia kwa bastola. Ametumbuliwa kwakuwa amekwenda kinyume na wajibu wake. Ametumbuliwa kwakuwa amevuka mipaka ya kazi yake na hata kumponza. Amekwenda na maji!
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Ndugu Salum Ally Hapi naye ameenda mrama. Amemuagiza Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni lililo chini ya Mhe. Yose Mlyambina kusikiliza upya shauri lililokwishaamriwa.
Kwa mujibu wa nyaraka niliyoiona (barua ya tarehe 12/10/2016),Mkuu huyo wa Wilaya ameagiza kesi ya
Bwana Venance isikilizwe upya kwakuwa tu bwana Venance hakuridhika. Akijua taratibu za kisheria,kwakuwa naye ni Mwanasheria,DC Hapi anajua kuwa hana mamlaka ya kuamuru hivyo.
DC Hapi anajua kuwa asiyeridhika na uamuzi wa Baraza anapaswa kukata rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania,Kitengo cha Ardhi. Anajua kuwa yeye kama DC si mamlaka kimahakama. Anajua kuwa amri yake kwa Mlyambina ni batili. DC Hapi amekwenda kombo,atumbuliwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kitabu Kimoja Kitakatifu kimeandika " Rushwa hupofusha."Au sijaelewa vizuri: kwamba DC Hapi ni mwanasheria lakini ameingilia uhuru wa muhimili wa mahakama!! Kama ni kweli ina maana hajui kwamba tribunal ni sehemu ya mahakama ambayo ina utaratibu wake wa kufanya kazi? Hakusoma Administrative Law na pia hakusoma kuhusu jurisdictions za mamlaka mbalimbali za kimahakama? Kama ni kweli basi chuo alichosomea kinatakiwa ku recall cheti chake kwa kuwa hakuelewa masomo mengi.
Wakati/muda ni hakimu mzuri.Wote wanaotumbuliwa wanatumbuliwa kwa haki. Huyo Hapi hawezi kutumbuliwa kwa majungu ya PM
Labda akeshe kupata jeshi la malaika kutoka mbinguni lakini ndani ya CCM wasafi ni kama kuchagua maharage kwenye makande.Ha haaaa kwani nani hajui kuwa maDC wa Magufuli na hata ma RC wanaishi kwa dili kama hizi za kulazimisha dhuluma ili wapate rupia. Mimi nasema Magufuli hakukesha kama anavyotuaminisha kuwapata hawa watu kwani wengi wao ni wasanii na wala rushwa kuliko wale waliotangulia. Wana kiu ya ajabu ya mali.
Unaokoa muda.unapoteza muda