Baada ya Chato sasa ni zamu ya Zenji Kula

Baada ya Chato sasa ni zamu ya Zenji Kula

Watu 59milion wanapewa kiasi sawa cha fedha na watu 1 milion!!!
Zenji nazani inazidiwa hata na Kinondoni kwa population sasa suala la kugawana sawa bin sawa sio sawa kabisa.
 
Meli 8 zitanunuliwa

4 zanzibar
4 bara

Ni kichaa tuu ndio anaweza fanya huu mgao

Bara watu mil 50 , zanzibar watu mil 2
Kuna kila dalili kwamba sasa ni zamu ya Zenji kufaidi matunda ya Muungano,

Nimesikia kwamba pesa za Sherehe za Muungano zitagawanywa kwa Tanganyika na Zanzibar.Hii sio tatizo lakini tunataka kujua hizo pesa za shehehe huwa zinachangwa Bara na Visiwani?

Tujue kwanza pesa za sherehe huchukuliwa kutoka fungu lipi.

Kingine ni kwamba je tunagawana sawa?

Zanzibar ni nchi kamili ina rais wake ,zigawanywe sawa....sasa ni zamu ya wazenji kufaidi matunda ya muungano..walinyanyasika sana...kama hamtaki haki za wazenji basi vunjeni muungano.
 
Meli 8 zitanunuliwa

4 zanzibar
4 bara

Ni kichaa tuu ndio anaweza fanya huu mgao

Bara watu mil 50 , zanzibar watu mil 2

Kwani hizo boti za uvuvi wanaenda kuvua ni wakazi wote wa hizo nchi? Wazanzibar walidhulumiwa sana ,sasa ni haki yao kupata stahiki zao...kama mnaona hawastahili basi vunjeni muungano maana nyie MACHOGO/Wanyamwezi ndio manaung'ang'ania.
 
Ccm ndiyo wanafanya hayo mambo. Binafsi sioni tatizo Zanzibar ikiwa nchi huru
Tuvunje Muungano tuwaachie Wazenji nchi yao ili tusiendelee kunyonywa.

Wazenji wakianza kudai Mamlaka yao kamili tunawaita magaidi tunawakamata na kuwasweka lupango.

Sasa tuelewekeje? Hatutaki Muungano uvunjwe pia hatutaki tuwagawie. Kama tunaona kuwagawia ni shida, tuwaachie kanchi chao
 
Back
Top Bottom