Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
- Thread starter
- #41
Naona una fikra mfu,subiri kimbunga kinakuja utajificha chini ya kwapa.
Wenye Tarime haooo
Naona una fikra mfu,subiri kimbunga kinakuja utajificha chini ya kwapa.
Baada ya Chacha Wangwe kufariki CHADEMA imekufa Tarime au bado wanaCHADEMA wa Tarime wanamlilia?
Maana hakuna tena vurugu kama zamani. Vurugu zimehamia Arusha, Msoma Mjini,Mbeya, mwanza na kwingineko.Uwepo wa CHADEMA IMARA unajitambulisha kwa fujo Zao.
Asante sana Pascal Ndege kwa mada uliyoianzisha kwa kudai umeona dalili za Chadema kufa Tarime. Ni majuzi tu chaguzi za mitaa zimefanyika; sasa kwa kuwa umefanya tathmini ukakuta Chadema inakufa, naomba utujuze je wakati wa Wangwe Chadema ilikuwa imekamata mitaa mingapi na hivi leo ina mitaa mingapi huko Tarime. Huo ndio utakuwa uungwana...ukianzisha mada unaambatanisha na takwimu. Matokeo ya Musoma tuliletewa humu yakionesha Chadema inazidi kuchanja mbuga hivyo tafadhali tusaidie japo kidogo kwa kutoa ushahidi kwa madai yako.mimi nimeona dalili tu
Ni ukweli tu hapa
Hivi kwanini wafuasi wa chadema wana matusi sana