Baada ya bwawa kuvunja ukimya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya bwawa kuvunja ukimya...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngoshwe, Jan 26, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Singependa kuchafua jamvi, kuna mwana JF anayejitambulisha kwa jina tumizi la "BWABWA". Aliingia humu tarehe 20 Jan 2010, 10:17 PM kwa stahili hii:

  "BWABWA: Hamjambo Mabibi na Mabwana? Kuanzia leo nitakuwa pamoja na nyinyi, mnipokee vyema, mnikaribishe vyema, mnipe vyenu vya tunu na vya thamani nami nitakupeni vyangu vyote, sina zaidi...thanx.

  Kuna baadhi yetu mlitaka kuja yeye ni wa jinsia gani lakini alikuwa wazi toka mwanzoni pale alipomjibu mwenzetu Preta na M-bongot tarehe hiyo hiyo aliyoingia jamvini kuwa yeye ni "SHOGA". kama hivi:

  "PRETA:boy or girlie?"
  "BWABWA: shoga

  "M-Bongot: Kama wewe ni shoga basi kulikuwa na mtu humu anaitwa BASHAWANGU nadhani mkikutana mtakuwa marafiki wazuri sana nyie na atasaidia sana kukutatulia shida zako za nyuma..

  BWABWA: nakushukuru sana mbongo kwa kunipa mchongo, kwani hapa jf kuna basha mmoja tu?? (LENGO LA KUULIZIA MABASHA HUMU NDANI, SIJUI, kwani hili ni Jamvi la Waungwana).

  21. 10. 00 04:35 PM WAZO Zuri juu wana JF wote walioko DAR

  BWABWA : Hamjamboo? sasa ni karibu miezi mitano mimi ni msomaji mzuri wa hapa kabla sijajiunga.Kuna watu wengi humu nawasoma maoni yao;kama Nguli. PakaJimmy, Bujibuji,Masanilo, Ngoshwe,Gambler,Firstlady,Pearl....na wengi sana.Ningependa sana tujuwane physical kuliko hali hii ya kucheka na computer peke yako kama chizi.Kwa hiyo natoa wito/wazo kwa wana JF wote walioko dar tuwe tunakutana sehemu, kama club, bar..au sehemu yoyote mnayopenda nanyinyi mnaweza kupendekeza.Hii itatusaidia sana kuimarisha mahusiano yetu, na pia tutakuwa tunasoma maoni ya humu ndani kwa hisia nzito kutokana na kumjua mhusika. Pia kwa wale ambao ni wapweke wanaweza wakapata wenza humu humu tukaweka historia ya JF. Kama mnavyojua;wachungaji hula madhabahoni mwao, na sisi wana JF hatuna budi......
  Mawazo yenu yanakaribishwa!

  PJ akamwonya ,

  " PAKA JIMMY: Taratibu Mkuu The Boss!..
  Lakini Bwana BWABWA, jinalako hili litakuletea usumbufu kiasi..
  Kama unaweza fanya mpango ubadilishe, maana kwa uzoefu wa hapa, jina la mtu linawakilisha tabia yake kabisa!
  Mwangalie huyo mtu hapo ju anaitwa "The Boss"...si unaona anaendanaendana?..teheeee!

  "BWABWA: Asanta Pakajimmy kwa kuni alert na huyo BOSS, kumbe ni mtu hatari!! Huyu Boss ni mtu wa Mwambao au?

  Siku hiyo hiyo BWABWA akaibuka na hii:" Haki Za Mashoga!!

  BWABWA: Najua wengi mtakuwa na mtazamo hasi juu ya hii habari,kabla sijaanza kueleza juu ya haki za mashoga, ningependa ujue kwa nini mtu anakuwa shoga? Kila mtu atakuwa anajua, unapozaliwa una kuwa na hormons za kike na kiume,unaweza ukazaliwa mwanamme lakini ukawa na hormons za kike nyingi kuliko za kiume, hapo ndipo unapokuwa shoga, na kwa mwanamke ni vice versa. Sasa mtu ana kosa gani kuwa shoga?? Hayo ni maumbile.Afrika tuko nyuma kwa mambo mengi sana,Uganda wametangaza Mashoga wakikamatwa watafungwa jela maisha, majuzi tu Malawi walijitokeza mashoga hadharani, wakakamatwa na kesekwa lupango, Tanzani na Afrika nzima, mashoga wamekuwa wakinyanyaswa na kunyimwa haki zao za msingi.Ningependa mtoe mchango wenu wa mawazo nini kifanyike ili haki iweko juu ya mashoga.


  Maisha yameendelea BWABWA akaja na hii, hapa ikwa ni siku mbili tu baada ya kuingia ndani (22nd Jan 2010, 01:25 PM) : "MTARIMBO UMEPINDA"

  "BWABWA: Nina dada yangu ameolewa ni miezi 2 sasa, tumezoena sana kiasi ambacho hunipa hata siri zake, kuna jambo linamtatiza kuhusu huyu bwana, akaniulizia na mimi limenishinda na anaogopa kumuuliza mumewe, nikaona bora nililete hapa jamvini kuna wataalam waliobobea kama THE BOSS, na wengineo. Swali ni kuwa huyu mumewe, mtarimbo wake umepinda upande wa kushoto,kwa waliosomea hesabu; yaani sio right angle ni about 45degrees. Alichoniuliza ni kuwa huku kupinda sio tatizo?? Na kama sio tatizo kuna njia yoyote ya kufanya mpaka mtarimbo ukaweza kuwa straight??
  Naombeni michango yenu nipate kumsaidia dada yetu.


  BWABWA amekuwa muwazi kila mara: akaleta tena hii
  "Nilonge.......Nisilonge???"

  BWABWA: Jemeni kuna nyimbo moja ya Msondo Ngoma aloimba Tx William, Nadhani wengi wenu humu mtakua mnaijua, inayosema.. "Wanaume tumeumbwa mateso! mateso!...kuhangaika...na kupata shida sana...." Hii nyimbo kila nikiisikia huwa najisemea moyoni. " mmh..afadhali nimehama huko hakufai mateso matupu..", Wanaume wengi siku hizi wakiona maisha yamewashinda, utasikia wamejitundika!! Kwa nini jamani ujiue?? Tafuta namna nyingine ya kuweza kuishi lakini sio kujiua!! Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshaelewa namna nyingine ya kuishi.......

  WANA JF WAKA HOJI SANAANA…..NDIO BUJIBUJI akauliza tena kupata ukweli
  zaaidi toka kwa mhusika "Bwabwa naomba jibu":

  "BUJIBUJI" : Jina lako linafanana na zile tabia zilizo sababisha sodoma na gomora zichomwe kwa ndimi za moto kutoka mbinguni. Umekuwa mstari wa mbele kwenye kutete haki za mashoga,ulipokuwa una laani kitendo cha nchi za weusi kufungwa na waarabu ulisema ndio maaana umeamua ujichubue ili kuikimbia laana ya rangi ya ngozi nyeusi.Swali langu ni hili: Je wewe ni shoga?


  KAMA MUUMNINI ASIEFICHA UCHA WAKE KWA MUNGU BWABWA ANAJIBU KWA UWAZI:

  BWABWA: Asante Bujii, ulonena ni ya kweli, wengi humu jamvini wamekua wakinishangaa, sasa kwa nini nifiche hali niliyokuwa nayo? hiyo ndio hali halisi, hayo ni maumbile.Hamjui kama mficha uchi hazai. Haya mambo bado ni mageni kwa nchi zetu, lakini polepole sasa yanaanza kuenea, mwisho mtazoea tu.Kama kuna mtu yuko serious na mimi, niko teyari hata kutoa namba yangu ya simu tuwasiliane. Swali la nyongeza?...

  HOJA: Naomba kutoa hoja hadhi ya huyu mheshimiwa BWABWA itambuliwe hivyo alivyotaka tuitambue na kwa sasa.

  Kwa ajili ya mjadala, nini maoni yetu juu ya uamuzi wa kujitangaza kwa huyu Mheshimiwa ndnai ya JF??.
   
 2. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  AISEE, NGOSHWE unatisha kwa ma data, hapo kwenye heading umekosea kidogo, umeandika bwawa badala ya bwabwa
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yaani huyu jamaa Bwabwa ameingia jamvini kwa siku chache lakini hali ya hewa imekuwa ni mbaya. Sijui akikaa humu kwa siku chache zijazo hali itakuwaje! Ila nadhani kwa tamaduni za kitanzania hali na tabia za kishoga hazikubaliki hivyo kama yeye ni bwabwa afanye kwa raha zake lkn sio mbele za wanajamii wote nikimaanisha jamvini kwani humu kuna watu wa kila kabila, umri na tabia! Naomba hata kama yeye ni Bwabwa basi abadilishe jina na kama vipi hataki basi uongozi wa JF umshughurikie! Asiendelee kuchafua hali ya hewa!
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ngoswe I salute you my brodha kwa uchambuzi na upembuzi wako makini.

  huyu ananikumbusha kwenye forum flani kuna jamaa aliingia kwa jina la Tzkweli naye alianzaga kwa style hii na aiwekaga signature iliyokuwa inamtambulisha yeye hivyo. Bahati sijui niseme mbaya au nzuri ile forum walikuwa wanamignore kabisa na baadae alibadili user name na signature yake kuonyesha yuko straight wakuu walipomwuliza akaja juu akisema hajawahikujitangaza kwa kisifa hicho.

  Sasa sijui wanaforum wale walimpotezea kiaina kwa kuwa wakati ule haya mambo yalikuwa mageni kabisa au ilikuwa ni furahisha jamvi tu.

  Kujibu hoja yako- kusema ukweli tuna'ongea' na vivuli hapa we never know when someone is serious, anacheka, amenuna au anatania. But from your analysis huyu anawezakuwa na haya yafuatayo;
  1. Ameamua hii iwe ndo style yake jamvini humu -kwa maana ya kufurahisha jamvi
  2. Anapenda mahusiano ya namna hii -kwa maana kuwa yeye ni straight but anapendelea kujihusisha na hawa non-straight ones so anahisi kwa kujitangaza hivyo inawezawavutia wale mashoga wa kweli kujitokeza kwake wakidhani ni mwenzao - na yeye kujipatia mabibi hao kiurahisi.
  3. Anafanya utafiti juu ya hili- so kwa kuweka mada zinazohusiana na hili basi anawezapata views zetu (My dia if this is true-kumbuka kuacknowledge)
  4. Yeye ni shoga wa kweli na hapa anajaribu nahati yake- anawezapata wateja
  5. Ni miongoni mwa mashoga nchini ambaye ametumwa specifically to pave their ways in the country -kulitumia jamvi kama njia mojawapo ya kufikisha ujumbe ili haki zao zitambulike.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mi napendekeza MODS 'waipoteze' ID ya huyu Afriti. Haina maslaha kwa taifa wala JF.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  huyu ni bwabwa kweli kaja kuwavuruga wanaume hapa ndani ..
  labda ku-ignore post zake cause kama MOD's wataitoa ID yake bado anaweza kujisajiri na ID nyingine pia ikawa mchezo ule ule
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mwambie aende Uganda akanyongwe "museveni hana mchezo na mashoga"
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wala msibabaishwe na huyo bwabwa, hana lolote la maana si shoga wala nini, anataka kuchanganya watu tu
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Well said!

  Afanyacho chumbani kwake na kitandani kwake naomba iwe juu yake; kama alivyojichagulia; hatuhitaji kuharibiwa hali ya hewa kwa kuwa tu yeye ajisikia hivyo!:mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:
   
 10. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  tusipoangalia tutalibadili jamvi kuwa ze utamu!!hafai mtu huyu huku ndani!!apotezewe,hata kama ana agenda yake ya siri!!
   
 11. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  labda ku-ignore post zake cause kama MOD's wataitoa ID yake bado anaweza kujisajiri na ID nyingine pia ikawa mchezo ule ule[/QUOTE]
  Naunga mkono hoja hii,,dawa ni kum-puuza tu, hata vijiweni si kunakua na Afiriti kama hawa!! Inakua shida pale inapotokea HAMJAMJUA lakini mkesha kumjua basi.....
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  akuna kukumbatia upuuzi moderator futa id yake au wanajf tuignore post zake zote akuna kuzisoma wala kujibu na akijibu post zetu zifute
   
 13. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Pamoja na yote yaliyosemwa hapa, naona sababu moja inayoweza kuwa imemfanya jamaa huyu aingie humu.
  Je kama anataka kuwajua wanaume waliopo humu ndani kwa uhalisia wao, i mean, majina yao na wanafanya nini? Mfano, Ili uweze kuonana na BWABWA mtaweka miadi mahali si ndio. Atakufahamu jina lako, mta chat may be, halafu what next?
  Hivi kama nataka kumfahamu Masanilo, Chrispin, Chupaku, Fidel 80, First Lady, etc etc nitawajuaje kwa njia ya urahisi? Fikiria......
  Huyu jamaa sio tu anaweka mazingira ya mtu kutaka kumpata kimapenzi, ila hata kumjua tu alivyo, maana mambo anayosema hayaelezeki kirahisi hivyo katika jamii yetu, hivyo ungependa hata angalau umuone, huyu msomi, ambaye ni Bwabwa.
  Frankly speaking, mimi hanistui hata kidogo. Wala msim-PM. Atakayemfuata akageuzwa yeye BWABWA, mi simo.
  Ni mawazo tu.....kazi kwenu waungwana.
   
 14. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ONDOA HIYO KERO.. Anatupotezea muda tuna mambo mengi ya kufanya.. Hapa JF sio mahali pa KUJITANGAZA kuwa wewe ni SHOGA.. Aende RADIONI au kwenye TVS
   
 15. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  huyu atakuwa bwabwa kweli kwa uchambuzi huo hapo juu.
   
Loading...