Baada ya ban

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
682
323
Ndugu zangu, kwa mda wa wiki moja hivi nimekuwa jukwaani hapa kama mgeni baada ya kuzawadiwa ban kutokana na mchango wangu huko jukwaa la siasa, jukwaa lile kuna watu wanakera, wana-behave kama vile hawaoni matatizo ya nchi yetu, kwa kawaida baada ya kukaa kwenye jukwaa la siasa hatimaye mimi huja hapa MMU hili ni jukwaa lenye raha sana unasoma vitu mpaka unasahau taabu zetu! natamani kuhamia kwenye hili jukwaa, ila namna style ya uandishi kwenye jukwaa hili sasa du naona kama mgumu vile but ni jukwaa lisilo na stress!
 
Hivi ban ndo nini

ni aina ya bia/supermarket utaikuta sema imeandikwa kimakonde-burn!!!

Ukishakua mwenyeji jf utaipata tu maana huwa inatolewa bure na mods ukipitiliza viwango,au nenda jukwaa la siasa na uzalendo ukajibu majibu ya vijana wa Lumumba!!!!
 
Ndugu zangu, kwa mda wa wiki moja hivi nimekuwa jukwaani hapa kama mgeni baada ya kuzawadiwa ban kutokana na mchango wangu huko jukwaa la siasa, jukwaa lile kuna watu wanakera, wana-behave kama vile hawaoni matatizo ya nchi yetu, kwa kawaida baada ya kukaa kwenye jukwaa la siasa hatimaye mimi huja hapa MMU hili ni jukwaa lenye raha sana unasoma vitu mpaka unasahau taabu zetu! natamani kuhamia kwenye hili jukwaa, ila namna style ya uandishi kwenye jukwaa hili sasa du naona kama mgumu vile but ni jukwaa lisilo na stress!

Karibu mkuu,
Ningependa kujua je tayar upo kwenye mahusiano/ndoa? fahamu siri ya jukwaa hili kua halina stress nikua kila memba humu yupo kwenye mahusiano ikibidi zaidi ya uhusiano mmoja! So nakusii kama huna mpenzi hatua ya kwanza tangaza dhamira yakumpata wako vinginevyo hutapokelewa!
 
Wazee wa Ng'ombe nyingi ni mwiko kuwa na mke au mpenzi mmoja hahahahaaaaaaaaaaaaa manake mgawanyo wa majukumu utayumba! labda ni jitihada za kuongeza ili kubalance majukumu
 
yaah, ndo dawa ya kazi nyingi! usukumani nikawaida sana, vp umeanza kufanyia kazi ushauri?
 
Duh!!Jukwaa la siasa sio mchezo nishakula ban mpaka najiuliza nina damu pendwa na kunguni au,ndio kwanza nimeachiwa jana usiku...magamba yanakera sana kule...
 
Pole mkuu hata mie jukwaa la siasa nna wiki ndo nimefunguliwa baama ya kumtukana mfanyakazi wa ofisi ndogo ya lumumba@zemarcopolo
 
Back
Top Bottom